Tanzania ina vifaa kama ifuatavyo ndege aina ya chengdu f-7 zipo 12 ni muundo tokana na ndege vita za soviet aina ya mig21,ndege hizi hutengenezwa China,pia tunazo f-6, na f-5 ila ni old technology compared to f-7.chengdu f-7 zilianza kuwa produced mwaka 1965-2013.
Kenya wana ndege aina ya northrop f-5 zipo 22 zinatengenezwa marekani zilianza kutengenezwa 1959-1987.
Twende kwenye comparison kati ya ndege hizi.
chengdu f-7 zilizopo Tanzania.
Northrop f-5 zilizopo Kenya
Speed ya northrop za Kenya at max ni 1700km/h
speed ya chengdu f-7 za Tz ni 2200km/h at max.
Range ya northrop ya Kenya ni 1405km.
Range ya chengdu ya Tz ni 2200km.
Zote zina beba mtu mmoja mmoja.
Uwezo wa kwenda juu wa northrop ya Ke nni 15800m.
uwezo wa kwenda juu wa chengdu ni 17500.
Tukija kwenye helicopter sasa na ndege za usafiri katika vita tukianza na Kenya.
Wana ndege za transport aina ya DHC 5 BUFFALO zipo 7.
DHC 5 BUFFALO kwa uchukuzi.
dhc 5 buffalo.
Kenya pia wana ndege aina ya dhc 8 dash ni bombadier wanazo 3.
dash 8 kwa uchukuzi.
Harbin y-12 wanazo 12.
harbin y12 kwa uchukuzi.
Wana ndege aina ya fokker 70 kwa ajili ya vip transport.
fokker 70 ipo 1 kwa ajili ya vip transport.
Kwenye transport sasa Tanzania ni kama ifuatavyo.
king air a100 kwa uchukuzi 1.
ndege aina ya king air a 100.
Tunazo pia dhc 5 buffalo kwa uchukuzi 4.
dhc 5 buffalo.
Tuna fokker f-27 ila mzee hii ni ya zamani sidhani kama ina exist,tunayo 1.
fokker f-27.
Tunayo Shaanx y8 1 for transport.
Tuna harbin y-12 kama kenya ila ni 1.
harbin y 12.
Tuna gulfstream v kwa vip transport 1.
Tunaanza helicopter sasa.
Kenya wanayo harbin wz9 wanazo 4 sisi hatuna hiyo kwa kushambulia.
harbin wz9
wanazo pia mi-171 zipo 3 kwa ajili ya ushambuliaji sisi hatuna kabisa.
mi 171.
sa gazelle helicopter wanayo 1 sisi hatuna.
Pia wana helicopters za sa 330 puma zipo 21 bongo hazipo.
sa-330 puma.
Kenya wana helicopter aina ya mi-28 zipo 8 kwa ajili ya kushambulia tz hazipo.
mi-28 ni ndege za kirusi alshabaab wazifahamu sana hizi.
Tanzania tuna helicopter zifuatazo.
agusta bell ab206 ni jet ranger zipo 2.
agusta bell ab206.
pia agusta ab205 ipo 1.
Tuna agusta ab 412 za police sijui idadi yake ila ni chache sana.
agusta ab 412.
Nitaendelea next post kwenye tanks n.k. ila mpaka sasa tumepigwa 3-0.
ngoja tuone ardhini kwa sababu angani mpaka sasa tumezidiwa iko wazi ila nadhani al-shabaab ni moja ya tishio kwa Kenya kupelekea kununua madege kama hayo ambayo huwa nayacheki kwenye sinema,lengo ni kushambulia wakiwa angani nafikiri.