Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
utamu ni mwingiLugha ya nyumbani ni tamu na utapata utamu. Utamu kwa utamu.
Bila shaka we ni mtu wa singida 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi huwa wananikataa wananiita Kaka 🤣
Hii ni hatari sanaUnataka kutwambia tutongozane wakurya kwa wakurya, wasukuma kwa wasukuma?
Hivi unavijua vibint vya Mbwinde vikifika Daslam aga vinasahau Kisukuma na ukivijua sana vinakukana.
Au hujai ona hiyo Mkuu?Hii ni hatari sana
Mi ni muathirika mkuu wa hilo mkuuAu hujai ona hiyo Mkuu?
Pole sana Mkuu, usirudie.Mi ni muathirika mkuu wa hilo mkuu
Usirudie pia mkuuPole sana Mkuu, usirudie.
Njoo ghetto 😻
🤣🤣🤣Bila shaka we ni mtu wa singida 🤣🤣🤣🤣🤣🤣