Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Dhambi ni kutolijua Neno la Mungu.
Ukilijua Neno la Mungu, ukalielewa, ukalishika, litakuweka huru kweli kweli.
Utakuwa huru na dhambi zote za duniani.
Hutozini.
Hutolewi.
Hutofanya umalaya.
Hutokuwa mmbea.
Hutokuwa msengenya.
Hutokuwa mfura.
Hutofanya dhambi.
Kwa kifupi, ukisikia dhambi unaogopa, kama siyo kuikimbia.
Ameen.
Mungu awasaidie mlijue Neno vizuri, muwache dhambi, mkakue katika Neno lake. Ameen.
By Past Pdidy.