Je, Wajua? Unaweza kulipa Tsh. Milioni 468 kugandisha mwili wako baada ya kifo ili uje kufufuliwa baadaye



Ni ujinga mkubwa sana mtu kutaka kuhifadhi mwili katika njia hiyo ili baadaye eti aje kufufuka, ni njia ya kitapeli kula hela za wajinga.
 
kwa hio watafufuliwa lini ?

au kati ya hio miili 50 kuna hata mmoja wamefanikiwa kufufua
 
utapeli tu, jamaa wamekaa wamefikiri kama walibuni njia ya kuhifadhi maiti na watu wakaipokea na kuitumia kwa nini wasitumie njia ya kuwarubuni wenye wenye vipato na waoga wa kifo au wapendwa wao wenye imani ya aina hiyo
 
au wanahisi labda kuna siku itafika binadamu ataweza kuzuia kifo au kufufua hivyo na wao iwe rahisi kurudi kwenye mstari hii ni ndoto na haitowezekana daima the death of a person is a good example of chemical change
 
Taja mtu 1 tu aliyefufuliwa baada ya kufa na kugandishwa mwili wake kwenye hilo jokofu
 
Enhe! Wanagandishwa wakimsubili nani au kitu gani kije kiwafufue wakishakufa?
 

Hii tusikie tuu sasa hapa kwetu mara umeme umekatika
 
Technology inakua labda kuna siku watafanikiwa .

Kuna mambo mengi tu miaka ya nyuma yalionekana hayawezekani kabisa lakini kwa sasa yanawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…