Je, Wajua? Unaweza kulipa Tsh. Milioni 468 kugandisha mwili wako baada ya kifo ili uje kufufuliwa baadaye

Je, Wajua? Unaweza kulipa Tsh. Milioni 468 kugandisha mwili wako baada ya kifo ili uje kufufuliwa baadaye

Enhe! Wanagandishwa wakimsubili nani au kitu gani kije kiwafufue wakishakufa?

Kama sayansi itafanikisha kurudisha watu wao watakuwa na faida kwasababu miili yao itakuwa haijaharibika au kuoza.
 
Atafufuliwa na nani....aseee ngoja ntafite supu ya dagaa kwanza ....
 
Back
Top Bottom