MtuloBM JF-Expert Member Joined Feb 26, 2020 Posts 595 Reaction score 555 May 17, 2023 #41 Funny boe said: Enhe! Wanagandishwa wakimsubili nani au kitu gani kije kiwafufue wakishakufa? Click to expand... Kama sayansi itafanikisha kurudisha watu wao watakuwa na faida kwasababu miili yao itakuwa haijaharibika au kuoza.
Funny boe said: Enhe! Wanagandishwa wakimsubili nani au kitu gani kije kiwafufue wakishakufa? Click to expand... Kama sayansi itafanikisha kurudisha watu wao watakuwa na faida kwasababu miili yao itakuwa haijaharibika au kuoza.
Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,017 Reaction score 18,537 May 17, 2023 #42 Atafufuliwa na nani....aseee ngoja ntafite supu ya dagaa kwanza ....