Baada ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, Utawala wa Kiayatollah umekumbwa na maandamano mwaka 1999, 2009-2010; 2017-2018; 2019 na 2022-2023. Katika maandamano hayo yote sababu kubwa zimekuwa madai ya Haki za Msingi kwa Wananchi na Mabadiliko ya Mfumo wa Kisiasa. Kwa sehemu kubwa maandamano hayo yalikuwa yanaanzishwa na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Baadae kuenea kwa Jamii nzima ya Wairani.
Cha tofauti na Maandamano ya sasa ni kuwa haya yameanzishwa na Bazaari Merchants. Wafanyabiashara hawa Wamekuwa ndiyo tegemeo kubwa la Utawala wa Kiayatollah kubaki madarakani. Lakini kuanguka kwa uchumi wa Iran na hasa kuporomoka kwa fedha yao rials kufanya wafanyabiashara hao kukosa imani kabisa na jinsi Serikali inasimamia Uchumi. Pesa ya iran imeporomoka kiasi kwamba kwa sasa $1 ni sawa na 1.4 million rials.
Maandamano ya awali yalikuwa yanadai mabadiliko ya mifumo ya kisiasa, mfano haki za kijamii na upigaji kura. Lakini maandamano ya sasa yanadai mfumo mzima wa Serikali Ubadilike kwa kukosa WELEDI wa Kusimamia Uchumi. Itakumbukwa pia kuwa Iran imekumbwa na Janga kubwa la Ukosefu wa Maji na Umeme usionauhakika. Sababu ni Utawala wa Kiayatollah kujaa RUSHWA NA UBINAFSI. BAZAARI MERCHANTS WAMEAMUA kuitosa Serikali wakiwa wanaona kabisa kuwa inaingia shimoni.
Mwaka 1979, waliosaidia MAPINDUZI YA KIISLAMU KUFANIKIWA NI BAZAARI MERCHANTS. Je tunaenda kushuhudia HISTORIA ikijirudia?
Mimi kwa Maoni yangu Utawala wa Kiayatollah, kwa vile Umeipa Dini ya Kiislamu kuwa ndiyo Mtawala wa Nchi ya Iran, ni lazima Uondoke ili kutoa nafasi ya kitimia kwa Unabii wa Biblia katika Ufunuo 17:15-18 Biblia inatabiri kuwa Serikali za Ulimwengu kwa mwamvuli wa Umoja wa Mataifa Watazipiga Marufuku Dini zote. Kwa maana hiyo Serikali ya Kiayatollah ya Iran ya sasa haitakubali kujipiga Marufuku yenyewe na hapo ndipo inakuja logic ya kwamba lazima Regime Change inabidi itokee Iran 🇮🇷
Na tunavyokaribia zaidi mwaka wa 2029 ambao ndio mwaka wa 2000 kamili tangu MESSIAH atokee duniani tutegemee matukio haya yatokee kwa haraka zaidi.