JE WAJUA... VINGI VITAMUU HUANZIA NA HERUFI "k"?

JE WAJUA... VINGI VITAMUU HUANZIA NA HERUFI "k"?

Haujakosea, pia kizuri kuliko vyote nacho kinaanza na k nacho si kingine isipokuwa KRISTO.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Ni uzushi tu na unavyoona kwani kinyesi, kidonda, na kirusi navyo vitamu?

  • :iamwithstupid:

Huwezi kujua hadi utakapoonja, anyway,
labda tuwekane sawa, unamaanisha kinyesi
kipi na kidonda kipi?...
 
uwongo mtupu.....mimi changu kitamu kuliko vyote kinaanzia na M.....chezea M wewe.....
 
Kilwa kyela kyelwa kibondo kigurunyembe hayo maeneo vip
 
Back
Top Bottom