Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na Kuwabagua Wahamiaji



Mfumo dume, ni mfumo wa Mungu, Mungu ni mfumo Dume wewe Mkristo wa hovyo usiejielewa!
 
Dunia nzima hakuna race ambayo haina ubaguzi mkuu. Hata hapa bongo ubaguz upo mkubwa sana.
 
Vipi mkuu vyoo vya Washington Dc. wanachamba na Tp au maji?
Washington DC ni vile vile kama wazungu wengine wote,ila kwa vile mimi sio mgeni huku, nina nyumba hapa,nimefunga vile vibomba vya maji, na huku water pressure ni kubwa, huhitaji kutumia mkono kuosha chochote water
pressure inamaliza kila kitu na kuna tp za kufutia kwa watumiaji wa tissues na kuna tissue ya pili ngumu kidogo ya kujikaushia
P
 
Kwa hyo si wabagzi wa jinsia ni wachunguzaji wa nn wanataka na hzo tuhuma nyengine unazisemeaje
 
The are not racist, they are just being nationalistic,
Hawana tofauti na wa South walioshambulia wahamiaji weusi na kutaka waondoke,
Wanalinda nchi Yao, America is for Americans, utamaduni wao, judeo Christianity, sasa Mambo ya kukuta misikiiti, hazana,kila Kona wapi na wapi!
Pale Tunisia wa Afrika walitimuliwa kisa wa Arab hawataki kuchanganya damu na mwafrika, demography ikabadirika!
Sisi wenyewe wa bongo, ni wabaguzi sana,
Ukiwa na asili ya kagera, unaonekana kama mnyarwanda, waha wakigoma, huchukuliwa kama warundi!
 
Mr pascal taifa halichagui jinsia linachagua kiongoz mwenye sera za kuwavusha hapo lilipo. Kamala hakuandaliwa alishtukizwa

Ww unapopigia kele jinsia wao wanaangalia uchumi , sera za mambo ya nje, wanatokaje hapo for the next 4 years
Wazungu wanata practicality si empty words, siasa za marekani hutozoelewa kwa aina hiyo ya kufikiri
 
Mnaonaje kama hiyo 2025, tuta ionyeshea Marekani na dunia kwa ujumla kuwa Tanzania ni wakomavu zaidi wa demokrasia
Ukitumia akili yako vizuri utagundua kuwa mleta mada ameleta:

kejeli

sema maneno ya dharau; fanyia mzaha


Nb:Mabandiko yake kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Marekani yanatutaka sisi tufanye kama wamarekani walivyofanya, ila ametumia lugha ya kinyume!
 
Ni kweli kabisa. Uchambuzi wa mleta mada kuhusu jinsia ni wa juu juu kabisa. Hakuwa anamsikia Kamala anavyoongea mambo hayaeleweki - 'word salad'?
 
ugua pole unatetea, chama cha MASHOGA na WASAGAJI, imekula kwenu. chama cha wanaume rijali kimeshinda kwa kishindo, tatizo mnapenda sana UNAFIKI, na uzuri TRUMP ni mzee wa MAKAVU live hakwepeshi jambo.
 
Heshima yako uliyojijengea kwa kipindi kirefu unataka kuipoteza kirahisi Sana. Acha kuwapangia wamarekani nini cha kufanya na badala yake Njoo hapa Bongoland ukemee uovu unaofanywa na chama tawala kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Mimi ukiniambia umeishi Ulaya huwa siamini maana huelekei kabisa huna tofauti na mtu ambaye amezaliwa na kukulia Katoro tena anaweza kuwa na nafuu, kwahiyo Marekani waache kuchagua mtu wa kuleta maendeleo wachague jinsia? kwamba jinsia ndiyo inafanya kazi? taifa lao limeshuka kiuchumi na utajiri kisa hawajachagua mwanamke? wahamiaji ni lazima waende Marekani? watu weusi wanabaguliwa kwanini na wao wasitumie vizuri rasilimali zao wawe matajiri kama wamarekani? ni mawazo ya hovyo kabisa kuandikwa na mtu msomi kama wewe tena unajiita wakili, dawa ya kuheshimika ni kutafuta pesa uwe nazo.
 
ww mzee mada ya tatu hii unamlilia kamara harris unaonesha umeumia sana yeye kutochaguliwa..tangu umekuwa chawa bado utazidi kuumia roho
Ni aibu kwa msomi kama yeye kuwa na mawazo ya hovyo hivi, mbona Israel haijawahi kuwa na Waziri Mkuu mwanamke au Israel hakuna wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…