Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na Kuwabagua Wahamiaji

Kuna mwana jf humu alisema harris na trump zilikuwa nyanya mbili mbovu hivyo wa marekani wakaamua kuchagua nyanya ambayo sio mbovu san.
 
Hili lako ni tatizo la ushabiki kuliko uhalisia! Tuanzie ubaguzi, vipi kule kwenu usukumani hakuna ubaguzi? Mbona wasukuma wa Mwanza na Shinyanga hawapikiki katika chungu kimoja?

Twende kwa wanawake, vipi hapa Tanzania wanakubalika? Samia hakubaliki ndani ya chama chake na hata kwenye uislam wake!

Hapa Afrika ni zaidi ya ushetani! Nenda Afrika Kusini uone cha mtema kuni. Hapa Tanzania kila siku tunapambana na wahamiaji haramu,au hilo hulioni?

Kosa la Wamarekani ni nini? Wivu na ushabiki unakusumbua!
 
Inabidi uwaonyeshe ili wafuate nyayo
 
Ubaguzi ni nature ya binaadamu ata hata tz sku wakenya wakiingia na kujaa tz tutawabagua
Ni km kule South Africa waafrika wanawabagua waafrika wenzao sa sjui makala yako inamaana gan

Ama na ww ni kibaraka wa kamala na agenda zake za kishetani za kutetea ushoga ubadilishaji wa jinsia na utaoji mimba
 
Uchambuzi wako ni WA kishabuki tu. Trump mbali na vituko vyote uchumi wa mtu mmoja mmoja uliimarika. Kwa Hali ilivyo walihitaji mtu strong hili wavuke. Pili suala la abortion limewachosha wamarekani watu wazima. Ubaguzi wa rangi angalia African American asilimia 85 wamempigia kura Kamala, wakati huo whites asilimia 55 ndo walimpigia kura Trump. Je wapi ni wabaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…