Je, Wajua wanyama wana namna yao ya kujitibu?

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,254
Reaction score
2,014
Katika ulimwengu wa wanyama si kila ugonjwa au majeraha huwatuma kwa daktari kwa sababu hawana! Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, wanyama wengi wamekuwa wakitumia njia zao asilia kujitibu au kupunguza maumivu wanapoumia au kuugua.

Kwa mfano:

Nyani walionekana wakila majani fulani ambayo kwa kawaida huwa hayaliwi, lakini wanayatumia wanapokuwa na matatizo ya tumbo.

Simba na paka wa porini mara nyingine hula majani maalum kusaidia kusafisha tumbo lao au kutapika vitu visivyofaa.

Tembo hujua ni miti gani ya kutumia kusaidia uzazi au kuondoa maumivu ya tumbo.

Hii tabia huitwa "zoopharmacognosy" – yaani uwezo wa wanyama kutumia mimea na vitu vya asili kujitibu.

Je, umewahi kushuhudia au kusikia kuhusu tabia kama hii? Unadhani binadamu wanaweza kujifunza nini kutoka kwa wanyama kuhusu tiba asilia?

Karibu tuchangie mawazo...
 
Asante sana nimeitwa hapa kama mtaalamu..

Ni kweli kabisa hii kingdom animalia ni ya ajabu sana.. kwa hi order ya primates tunaweza ona wana aina tofauti kabisa upande wa immunology

Mfano ili mnyama ajitibu anahitaji kitu kinaitwa immunization inhibitors ambazo kwa nyie ambao sio wataalamu mnaita dawa..

Hizi dawa zimetengenezwa na mimea tofati ya wewe na nyani upande wa indigestion ni kuwa yule ana mechanisms ya kipekee ambayo inawezesha ku extract hizo inhibitor kwa kuvunja vunja zile plant tissue ila kwa binaadamu ni ngumu maana sisi tumekosa hao enzyme...

Kwa swali lolote karibu
Vishu Mtata
 
Ukikuta nyoka wananyukana jaribu kusubiri uone mwisho wake,yule aliyeumizwa huwa anatafuta majani au mizizi furani na kujitibu, wanadai hiyo ni dawa ya kuumwa na nyoka. By the way kwa sauti ya JK akili ya kuabiwa ongeza,,,,,,
 
Asante sana nimeitwa hapa kama mtaalamu..

Ni kweli kabisa hii kingdom animalia ni ya ajabu sana.. kwa hi order ya primates tunaweza ona wana aina tofauti kabisa upande wa immunology

Mfano ili mnyama ajitibu anahitaji kitu kinaitwa immunization inhibitors ambazo kwa nyie ambao sio wataalamu mnaita dawa..

Hizi dawa zimetengenezwa na mimea tofati ya wewe na nyani upande wa indigestion ni kuwa yule ana mechanisms ya kipekee ambayo inawezesha ku extract hizo inhibitor kwa kuvunja vunja zile plant tissue ila kwa binaadamu ni ngumu maana sisi tumekosa hao enzyme...

Kwa swali lolote karibu
Vishu Mtata
Asante sana ticha Poor Brain barikiwa sana.
 
Paka anapoumwa huwa anakula majani kisha anatapika halafu baadae unamuona yupo sawa tu.
 
Back
Top Bottom