Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

Bwana Pascal Mayalla naona unahaha sana. Huenda wewe ni mkristo usiyelijua neno la Mungu.

Tangu enzi na enzi watumishi wa Mungu wametumika mara zote kwenye siasa.

Nakusihi uende kwenye Biblia ukasome habari za Yohana Mbatizaji na mfalme Herode.

Yohana alimkemea sana Herode kutokana na kufanya mambo ya hovyo.

Nenda kasome habari za Daniel pia.

Mimi nitaendelea kukufundisha tu mpaka kichwa chako kikae sawa.
Nyaraka za mitume nazo siyo neno la Mungu? Na hata biblia yote siyo neno la Mungu kwani ni muunganiko wa nyaraka na matamko ya kinabii kama ulivyo huu wa TEC.

Na endapo tutakubaliana kuwa maandiko yote ni hila na chuki za wanadamu, basi ukristo pia hauna maana yoyote zaidi ya upotofu wa wanadamu tu na upotezaji wa muda.

Ndugu Mayala, be careful kabla hujaingilia uwanja wa mambo ya imani bila kubobea.

Wasalaam
 
Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.

Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.

Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!

Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.

Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.

Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.

Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.

Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.

Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.

Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!.

Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini na tunawaheshimu sana na kuwategemea kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.

Tumsifu Yesu Kristo

Paskali.
Tusijifanye ku HIT around the Bush hoja zijibiwe Kwa hoja.....

Hit around the Bush simple definition (to talk about lots of unimportant things because you want to avoid talking about what is really)

Mambo ya kuanza KUSEMA mara siasa na dini mara ivi mara vile nimemsikia mama Samia of course kaniboa sana kuwakemea viongozi wa dini ni ku hit around the Bush.......
 
Mkatoliki yeyote anajua sio neno la Mungu na TEC hawajsema ni neno la Mungu. lakini wamemshirikisha Mungu ili awaongoze kusema kweli yake.

Kwa kufunga na kusali ili Roho Mtakatifu awaongoze kwenye hili na baada ya kusikiliza pande zote kwa kina it's obvious ule waraka ni sauti ya Mungu.
 
Sauti ya wengi ilikatataa mfumo wa vyama vingi je Mungu hapendi Demokrasia?

Mfumo mzima wa maumbile ya mwanaAdamu unakupa jibu la swali lako kinagaubaga.

Wewe ulichagua wapi kuzaliwa? Ulichagua wapi wazazi watakaokuzaa? Ulichagua wapi rangi ya ngozi yako?

Mungu ni mkamilifu. Hajui Democracies wala hajui Dictatorships. Mungu hana mipaka.
 
Pasco

kuchanganya dini na siasa ni dhana potofu. Rais na Wabunge wanaapa kwa kushika Biblia na Quran Tukufu.

Bunge linaanza kwa sala ya kutambua uwepo wa Mungu ambalo ni jambo la dini.

Mgeni rasmi wa Baraza la Eid siyo sheikh mkuu ni Rais wa Nchi

Mgeni rasmi wa maadhamisho ya miaka kama yale ya miaka 60 KKkT siyo Askofu mkuu ni Rais

Mvua isoponyesha tunakwenda uwanja wa Taifa viongozi wa dini, siyo RC au DC kuombea Nchi

Tunapozozana kwa Katiba au vyama vya siasa tunakwenda uwanja wa Taifa kuombea amani
Anayeongoza sala na maombi ni viongozi wa dini, siyo Waziri Mkuu au Mkuu wa Mkoa

Orodha inaendelea....

Viongozi wa dini wanaotenda hayo hapo juu wakizungumzia mambo yanayohusiana na hayo hapo juu inakuwa kuchanganya dini na siasa. Yaani kuchanganya siasa na dini ni sawa, lakini dini na siasa si sawa.!!

Kwa wale wanaosoma, mifumo ya utawala wa Dunia imejengwa katika Template ya mifumo ya Tawala za dini.
Yaani dini ndiyo imetengeneza 'structures' za siasa za Dunia ya leo, kwahiyo dini ni siasa kwanza.

Pili, kuna tatizo kubwa sana kwa Watanzania na limjitokeza wakati huu wa tatizo la Bandari
Kuna ' messenger ' halafu ' Message' . Watu wanamshambulia messenger badala ya message

Bila kujali Waraka ni wa kidini, una nguvu gani au la, soma 'contents' kisha uzijibu kwa kukukubaliana nazo au kutokubaliana nazo kwa kuangalia 'MKATABA' kama reference.

Bila kujali upande mtu anaouchukua, muhimu ni kujibu iwe 'for or against'.
Watanzania hatujui debate au kujenga hoja, tunaongea tu bila ufahamu wa mada.

Ikiwa mtu anadhani kuna kitu kizuri au kibaya kinaambatana na MKATABA wa Bandari, jambo la kwanza atueleze kwanini anadhani mkataba ni Mzuri au ni Mbaya halafu ajenge hoja yake anayokusudia , si kutueleza conclusion bila analysis
 
Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.

Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.

Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!

Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.

Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.

Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.

Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.

Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.

Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.

Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.

Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.

Tumsifu Yesu Kristo

Paskali.
Kwa hiyo ni neno la shetani?
"Kila neno lenye pumzi ya Mungu linafaa kwa mafundisho".
 
Bwana Pascal Mayalla naona unahaha sana. Huenda wewe ni mkristo usiyelijua neno la Mungu.Ahsa

Tangu enzi na enzi watumishi wa Mungu wametumika mara zote kwenye siasa.

Nakusihi uende kwenye Biblia ukasome habari za Yohana Mbatizaji na mfalme Herode.

Yohana alimkemea sana Herode kutokana na kufanya mambo ya hovyo.

Nenda kasome habari za Daniel pia.

Mimi nitaendelea kukufundisha tu mpaka kichwa chako kikae sawa.
Ahsante Bro! huyu ni mkatoliki magumashi tu!
Yohanne Mbatizaji alimkemea Herode kwa kumwoa herodia mke wa nduguye--
Matokeo yake fitna ikawepo na yohane mbatizaji akakatwa kichwa.
Wengi waliteswa na kuuawa kwa kuwa wakweli akina Daniel, Jeremia, Paulo na Sira, Na yule nabii aliyemwonya yule tajiri aliyekuja kunyakua shamba la Naboth (shamba la Urithi) nk.
Shadrack abednego na Meshack waliotupwa kwenye tanuru la moto walipokataa kuabudu lisanamu la mfalme!
Maaskofu wetu ukiona wamefikia kutoa barua ya kichungaji jua wako tayari kwa lolote.
Askofu wa Karagwe Rweyongeza kawaambia waumini wake wazi wazi nyie mchague vizuri viongozi wenu. Siye tumezoea kufa/kuuawa kwa sababu ya kweli ndiyo maana mavazi yetu ni mekundu.

Ule waraka ni barua ya kichungaji kama nyingine zilizotolewa, Alipigwa nazo mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa huyu.
Askofu ana vyeo 3: Mchungaji, Mfalme na Nabii.
Barua ya kichungaji ni Unabii- Tunatakiwa kuufuata!!
 
Alafu Paskali unaniangusha mtumishi mkongwe wa Kanisa. Madhabahu za Kanisa Katoliki huwa zina meza ya Bwana kwaajili ya sadaka ya mwili na damu ya Yesu, meza ya kusomea neno la Mungu na maombi tu. Meza kwaajili ya matangazo mbalimbali baada ya misa na hutumika na walei kupashana habari ikiwemo waraka kama huo.
 
Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.

Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!.

Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!

Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.

Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.

Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.

Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.

Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.

Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu.

Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!.

Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini na tunawaheshimu sana na kuwategemea kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.

Tumsifu Yesu Kristo

Paskali.
Die harder ah! mkuu, being die harder kwenye ukatoliki siyo kuwa mbishi au mjuaji.
Catholic die harder ni wanyenyekevu, wenye kuchambua mambo na kusimama kwenye ukweli daima, wenye reasoning bila kubebwa na hisia za mioyo yao bali intelligence ya vichwani mwao.
Unaposema habari za kuchanganya dini na siasa kumbuka kuikosoa serikali siyo siasa, ina wajibu juu ya elimu, afya na shughuli za kiuchumi kwa wananchi, wajibu huu hata kanisa linashirikiana na serikali kutekeleza lakini haiitwi siasa. Serikali na kanisa ni partners katika shughuli za maendeleo. Inakuwaje Kanisa likiikosoa serikali igeuke siasa?

Dini na Siasa?
Mungu alimteua Sauli kuwa Mfalme wa Israel. Mungu alimtuma Samwel kwenda kumpaka Mafuta Daudi. Yohanna Mbatizaji alimkosoa Herode.
Kuna Daniel, kuna Esther and the list goes on.

Hauwezi ukatenganisha dini na siasa katika hizo level mnazoziongelea, labda uende deep, ondoka katika level za Serikali, nenda kwenye levels za vyama. Wachungaji na Maaskofu wakianza kuingia kwenye vyama huko mdiyo Mkawakemee, na unajua vyema ni vyama gani vyenye Maaskofu hadi bungeni.
hata huko kwenye vyama, nako viongozi wa Dini wanaweza kukosoa na kumea mionendo yao na isiwe siasa bali wametimiza wajibu wao wa Kichungaji.

Kwa kumalizia tu, huo Ukatoliki wako unaouita 'Die Harder' ni sawa ni sawa Lucas mwashambwa na U-CCM wake.
 
Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.

Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.

Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!

Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.

Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.

Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.

Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.

Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.

Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.

Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.

Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.

Tumsifu Yesu Kristo

Paskali.
Definition mojawapo ya Politics inasema Politics is a full system of life...yaani Siasa ndio inaamua mfumo wa maisha ya binadamu kwamfano uishi wapi,ule nini,usome wapi,ulipwe nini,ustaafu lini n.k
There is no way utaitenga Siasa na Dini
 
Pascal Manjaa
 
Hata hujui Mungu hufanya kazi yake kwa njia zipi, na huwatumia watu gani.

Unapokataa waraka wa TEC sio neno la Mungu, unamzungumzia "mungu" wako anayenyima haki za wengine, asiyejali wanaoonewa, wanaolalamika kudhulumiwa haki zao, aliyeamua kuwazibia wale wamliliao masikio.

Usijidanganye kutumia kivuli cha "dini na siasa" ili kuukataa ule waraka, endelea kuukataa kwa interest zako, ili umfurahishe huyo unayemtumikia ukiamini atakukumbuka kwenye ufalme wake wa ulimwengu huu..

Lakini pia utambue, yupo Mungu mkuu unayemkasirisha kwa haya maandiko yako, yasiyojali haki za wanyonge wanaoonewa, siku yaja pale atapokuchapa kwa fimbo yake, usilalamike.

Mungu hadhihakiwi.

Kusema Ukweli ukitumia muda zaidi kutafakari yanayoendelea na vijembe watu wanavyorushiana kuhusiana na hili la Bandari mpaka kuamua kumuita Mungu kati, utagundua hakuna tofauti na drama za madawa ya kulevya miaka 6 iliyopita.

It’s just a Power struggle at play.

Ni “ugomvi” wa mamlaka ambao maFahari zaidi ya wawili wanagombea zizi moja na kibaya zaidi Mimi mtanzania wa kawaida kabisa huku Nyarugusu haunisaiidii chochote zaidi ya kuniongezea maumivu.

Upuuzi sana.
 
yani brother pascal sijui ulizaliwa siku gani kwako wewe viongozi wa kisiasa wamewekwa na Mungu halafu viongozi wa kanisa wamewekwa na kaisari, kukemea maovu kwako sio neno la Mungu, hao hao maaskofu wakiwasifia watawala madhabahuni kwani linakua neno la Mungu, ivi kwanini njaa inatabia yakujionyesha hata kama tumbo halina kioo.
 
Back
Top Bottom