Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Ndugu yangu biblia ni neno la ufunuo. Halisomwi ovyo ovyo tu.
Hebu soma hapa:-
Pasipo mashauri taifa huanguka; Bali kwa wingi wa washauri huja wokovu.
Mithali 11:14
Ndugu yangu Pascal unakosa kitu cha msingi katika imani yako. Huelewi maana ya neno la Mungu, na umepungukiwa na mengi.Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.
Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.
Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!
Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.
Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.
Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.
Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.
Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.
Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.
Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!.
Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini na tunawaheshimu sana na kuwategemea kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.
Tumsifu Yesu Kristo
Paskali.
Mbwa ndiye nani sasa hapo?Huyo aliesema hivyo ni muhenga wa walioleta kitabu kwa meli ambae ni ‘mtakatifu’.
Wewe muhenga wako ambae ni ‘mzimu’ alisema hivi; Miluzi mingi humpoteza mbwa njia.
Kahaidiwa ajira,sijui itakuaje hali wale dini ndio cvUnafurahia bandari zetu kupewa Waarabu?
Hawezi akaelewa kazi ya Altar na Lactern.Alafu Paskali unaniangusha mtumishi mkongwe wa Kanisa. Madhabahu za Kanisa Katoliki huwa zina meza ya Bwana kwaajili ya sadaka ya mwili na damu ya Yesu, meza ya kusomea neno la Mungu na maombi tu. Meza kwaajili ya matangazo mbalimbali baada ya misa na hutumika na walei kupashana habari ikiwemo waraka kama huo.
Hata hilo baraza halijasema kuwa huo waraka ni Neno la Mungu. Pale altare huwa kuna matangazo(taarifa) nyingi ambazo sio Neno la Mungu hutolewa kila siku ya ibada ili kuwaweka sawa waumini.Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.
Huu ni ushauri au agizo ?Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.
Paskali sijui kama watakuelewa kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao na nia ovu ya dhamira zaoWanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.
Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.
Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!
Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.
Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.
Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.
Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.
Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.
Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.
Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.
Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.
Tumsifu Yesu Kristo
Paskali.
Mbwa ndiye nani sasa hapo?
Kawaida hawezi kuhalalisha kosa- mbona hutulii ekaristi takatifu pale sisi waumini?Hata hilo baraza halijasema kuwa huo waraka ni Neno la Mungu. Pale altare huwa kuna matangazo(taarifa) nyingi ambazo sio Neno la Mungu hutolewa kila siku ya ibada ili kuwaweka sawa waumini.
Kwa mfano matangazo ya ya kuzima simu sio Neno la Mungu ila hutolewa madhabahuni.
Sio tatizo kwa huo waraka kusomwa madhabahuni
Mkuu samahani, kama wewe ni mkatoliki kweli, matangazo ndani Kanisa bila kujali aina ya hayo matangazo, siku zote ufanyikia wapi? Kwenye hili la bandari leo unataka wabadilishe utaratibu?Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.
Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.
Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!
Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.
Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.
Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.
Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.
Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.
Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.
Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.
Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.
Tumsifu Yesu Kristo
Paskali.
Vyote maana vinasahihisha kosa la wazi kabisaHuu ni ushauri au agizo ?
Wanabodi,

Wewe ni mkatoliki kwa jina tu ila hujui mafundisho ya kanisa lako. Ungekuwa unajua maandiko matakatifu ungejua kuwa hakuna mtu aliyewahi kumuona Mungu wakati wowote ila Mungu huwasiliana na watu kupitia wateule wake wenye uwezo wa decode lugha ya Mungu na kuiweka katika maneno ya kibinadamu. Kumbuka pia mitume, wamepewa uwezo wa kufunga na kufungua duniani na kuwa hivyo mbinguni. Niishie hapo kwani inaonekana uelewa wako katika mambo hayo ni mdogo sanaWanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.
Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.
Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!
Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.
Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.
Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.
Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.
Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.
Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.
Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.
Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.
Tumsifu Yesu Kristo
Paskali.
Ngosha paschal mayalla ukuje ujibu hili swali kwa ufasaha."waraka wa baraza la maaskofu........." Hayo ya maneno ya "waraka toka kwa Mungu"" umeyatoa wapi?
unamshambulia bure mwenzako, hebusoma hii kutoka kwa Kalidinali PengoMkuu samahani, kama wewe ni mkatoliki kweli, matangazo ndani Kanisa bila kujali aina ya hayo matangazo, siku zote ufanyikia wapi? Kwenye hili la bandari leo unataka wabadilishe utaratibu?
Ni Askofu, Paroko au Padri yupi ameshatangazia umma kuwa tamko lao la TEC kuhusu mkaba wa kampuni ya DPW na Serikali ya Tanzania ni "neno toka kwa Mungu"? Waraka wenyewe unasomeka "waraka wa baraza la maaskofu........." Hayo ya maneno ya "waraka toka kwa Mungu"" umeyatoa wapi? Unataka waumini waambiwe nini kisichoeleweka hapo? Una lengo la kuwaaminisha nini jamii hasa ya wasio wakatoliki?
TEC ya Kitima CHADEMA wamekurupuka wamechanganya dini na siasa FULL STOP.Yaani we mayalla na wewe unakuwaga wa ajabu sana. Give up brother, it's not adviced lakini kwa hapo ulipofikia hakuna cha maana utapata serikalini kwa kujikomba komba hivyo. Kama ni wa kuonekana ungekuwa ushaonekana. Don't fall in line of stupid group of people who badly discredit waraka so as waonekane na watawala.