Unamaanisha TEC haina tofauti na wale wahuni wanaouza raslimali za nchi kwa wageni, na huku wakiwaumiza wananchi kwa tozo na kodi za hovyo, au!!TEC ya siku hizi haina tofauti na magenge mengine ya wahuni
Huna nyota Babu teuzi utaendelea kuzisikia tu redioni maana naona unapambana sanaWanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.
Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.
Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!
Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.
Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.
Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.
Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.
Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.
Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.
Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.
Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.
Tumsifu Yesu Kristo
Paskali.

Kwa juu ama mwanzoni ameanza mbwembwe kuwateka watu willing yao ili i bend according to his will. Huyu Kuna kitu akapewa sio bure.mara akasoma India akasoma pia na dini za India huko,ingawaje za afrika hajazisoma.Bwana Pascal Mayalla naona unahaha sana. Huenda wewe ni mkristo usiyelijua neno la Mungu.
Tangu enzi na enzi watumishi wa Mungu wametumika mara zote kwenye siasa.
Nakusihi uende kwenye Biblia ukasome habari za Yohana Mbatizaji na mfalme Herode.
Yohana alimkemea sana Herode kutokana na kufanya mambo ya hovyo.
Nenda kasome habari za Daniel pia.
Mimi nitaendelea kukufundisha tu mpaka kichwa chako kikae sawa.
Dini zote zina sifa ya kutenganisha UUNGU na UUTU- labda kanisa lenu katoliki la TEC ila Kanisa Katoliki la Roma linatenganishaPaskali,
Mpaka unaotenganisha "neno la Mungu" na "neno lisilo la Mungu" ni upi?
Ukuta unaotenganisha "maoni ya Maaskofu" na "maagizo ya Mungu" ni upi?
Mungu hajatuagiza kwamba: “Subdue the earth and dominate all living things”? (Genesis 1:28)
Watanzania hatuna mamlaka ya kuitiisha nchi na vyote viijazvyo?
Hayo sio maagizo ya Mungu wetu?
Maaskofu wameongea kitu nje ya amri hii?
Mungu anakuona kwa jicho la adhabu Paskali!
Mama Amon.
Wakati mwingine kunyamaza pia ni busara, hata kama una uhuru wa kutoa maoni. Hii njia uliyoichagua, itakushushia heshima yako kwa kiwango cha ajabu.Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.
Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.
Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!
Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.
Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.
Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.
Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.
Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.
Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.
Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.
Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.
Tumsifu Yesu Kristo
Paskali.
Usisahau kuwa altare hizohizo zilitumika khamasisha waumini kushiriki uchaguzi. Inakuwa kuhimiza uchaguzi ilikuwa halali na leo kukemea maovu inakuwa kuchanganya siasa na dini?Wanabodi,

Watu wanapiganishwa vita wasioijuaKusema Ukweli ukitumia muda zaidi kutafakari yanayoendelea na vijembe watu wanavyorushiana kuhusiana na hili la Bandari mpaka kuamua kumuita Mungu kati, utagundua hakuna tofauti na drama za madawa ya kulevya miaka 6 iliyopita.
It’s just a Power struggle at play.
Ni “ugomvi” wa mamlaka ambao maFahari zaidi ya wawili wanagombea zizi moja na kibaya zaidi Mimi mtanzania wa kawaida kabisa huku Nyarugusu haunisaiidii chochote zaidi ya kuniongezea maumivu.
Upuuzi sana.
Dini zote zina sifa ya kutenganisha UUNGU na UUTU- labda kanisa lenu katoliki la TEC ila Kanisa Katoliki la Roma linatenganisha
UKISOMA HII ITAKUSAIDIATEC ni sehemu ya Kanisa Katoliki la Roma. Hivyo, dhana ya UTU wa binadamu na UTU wa Mungu, zinazotambuliwa na Kanisa Katoliki la Roma zinatambuliwa na TEC.
Nakukumbusha kwamba, Kanisa Katoliki la Roma linafundisha, na TEC wanakubali, hoja ifuatayo:
1. Kwa kuwa UTU wa Mungu ni chimbuko la UTU wa binadamu;
2. Na kwa kuwa kuna uhusiano usiotenganishika kati ya chanzo na matokeo yanayotokana na chanzo husika;
3. Basi, kuna uhusiano usiotenganishika kati ya UTU wa binadamu na UTU wa Mungu.
Kwa hiyo, maneno yako kwamba "Dini zote zina sifa ya kutenganisha UTU wa MUNGU na UTU wa BINADAMU," japo umelisema hilo kwa kujiuma uma midomo, hayakubaliki kwa Kanisa Katoliki la Roma, linaloamini juu muungano wa kudumu kati ya Mungu aliye sababu na Binadamu aliye matokeo.
Mkuu Paskali.Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.
Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.
Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!
Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.
Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.
Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.
Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.
Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.
Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.
Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.
Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.
Tumsifu Yesu Kristo
Paskali.
Ohoooo mbwa tenaWewe muhenga wako ambae ni ‘mzimu’ alisema hivi; Miluzi mingi humpoteza mbwa njia.
Wengi hata kama wakikosea makosa yao huchukuliwa kama ukweli na ndio hutumiwa kujudge hata ukweli wa wachache.Sauti ya wengi ni sauti ya mungu kwakuwa na tec ni jopo la watu wengi hivyo ni sauti ya mungu
Siku zote naamini wewe ni mpumbavu lakini Kwa kweli sikujua kama ni Mpumbavu kiasi hiki.Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.
Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.
Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!
Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.
Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.
Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.
Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.
Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.
Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.
Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.
Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.
Tumsifu Yesu Kristo
Paskali.
Ukweli na kusema ukweli kwa kutafuta sifa ya kupendwa ni ujinga- DINI haichanganywi na siasa. Aidha jibuni swali lake- Paskali anaunga mkono makubaliano ya bandari, je aende kusali na huko akosomewe tamko la kupinga bandari? Nionyeshe bandari kwenye amri kumi za Mungu- ACHENI UPOFUWakati mwingine kunyamaza pia ni busara, hata kama una uhuru wa kutoa maoni. Hii njia uliyoichagua, itakushushia heshima yako kwa kiwango cha ajabu.
Na ushahidi mdogo tu ni hayo maswali uliyoulizwa na wajumbe! Sidhani kama baadhi yae unaweza kuyajibu kwa ufasaha.
shida kweli kweliWengi hata kama wakikosea makosa yao huchukuliwa kama ukweli na ndio hutumiwa kujudge hata ukweli wa wachache.
Utakatifu? Unatoka wapi huo utakatifu. Lakini sawa; sasa pingana na mtatakatifu Kardinali PengoSiku zote naamini wewe ni mpumbavu lakini Kwa kweli sikujua kama ni Mpumbavu kiasi hiki.
Mkatoliki usiyejua kwamba Waraka wa kitume kikanisa ni neno Takatifu wewe ni Mkatoliki gani. Hii ndo naisikia kwako Leo kwamba kuna mafundisho wa Kikatoliki yanasema Nyaraka za Kanisa zinaweza kupuuzwa na waumini Kwa ushauri wa Zuzu mmoja.
UKISOMA HII ITAKUSAIDIA
Sociologists who do research on religion analyze the relationship between society and religion and study the role that religion plays in people’s lives. They do not try to prove that one religion is better than another. Nor is it their goal to verify or disprove anyone’s faith. As was mentioned in Chapter 1, sociologists have no tools for deciding that one course of action is more moral than another, much less for determining that one religion is the “correct” one. Religion is a matter of faith—and sociologists deal with empirical matters, things they can observe or measure. When it comes to religion, then, sociologists study the effects of religious beliefs and practices on people’s lives.
They also analyze how religion is related to stratification systems. Unlike theologians, however, sociologists do not try to evaluate the truth of a religion’s teachings. Emile Durkheim was highly interested in religion, probably because he was reared in a mixed-religion family, by a Protestant mother and a Jewish father. Durkheim decided to find out what all religions have in common. After surveying religions around the world, in 1912 he published his findings in The Elementary Forms of the Religious Life.
Here are Durkheim’s three main findings. The first is that the world’s religions are so varied that they have no specific belief or practice in common. The second is that all religions develop a community centering on their beliefs and practices. The third is that all religions separate the sacred from the profane. By sacred, Durkheim referred
to aspects of life having to do with the supernatural that inspire awe, reverence, deep respect, even fear. By profane, he meant aspects of life that are not concerned with religion but, instead, are part of ordinary, everyday life.
Durkheim (1912/1965) summarized his conclusions by saying:
A religion is a unified system of beliefs and practices relative to sacred things, that is to say, things set apart and forbidden—beliefs and practices which unite into one single moral community called a Church, all those who adhere to them.