Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

I DID NOT KNOW WHETHER PASCAL MAYALA WAS THAT MUCH STUPID.YOU HAVE BEEN FIGHTING FOR PRESIDENTIAL APPOINTMENT FOR SIX YEARS,LITTLE DID YOU KNOW THAT THE QUESTION YOU ASKED MAGUFULI REGARDING TO THREE ARMS OF THE STATE IS THAT WHICH PUT YOU TO THE STREET TO DATE. AMKA!!!
How did you know that? What does he need a presidential appointment for? And what do you need, if I may ask?
 
Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.

Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.

Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!

Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.

Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.

Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.

Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.

Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.

Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.

Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.

Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.

Tumsifu Yesu Kristo

Paskali.
Yoooooote ni sawa lakini hoja yako ni "kuchanganya dini na siasa".

Maswali:

1. Siasa ni nini kwani? Na dini ni kitu gani? Na baada ya kuelewa hayo mawili, then unaweza kutueleza huku kuchanganya dini na siasa ndiyo kukoje hasa?

2. Na kwa kadiri mimi ninavyoelewa, siasa ni huduma bora za maji, usafiri, usafirishaji, uchumi, afya, elimu amani, usalama wa watu na mali zao, makazi na mavazi ya watu, haki na wajibu na ustawi na maendeleo ya ya watu kwa ujumla...

3. Sasa ndugu Pascal Mayalla hebu tuambie wewe unafikiri dini inahusika na nini kama siyo juu ya ustawi na maendeleo ya watu pia? Na unafikiri siasa na wanasiasa wapo huko ili wafanye nini kwa watu? Wapigiwe kura tu kisha waachwe wafanye watakalo na watakavyo huku wakitweza utu wa watu??

4. Na labda pia tueleze, hivi ni wakati gani mtu anaweza kuwa amevuka mstari toka kwenye siasa na kuanza kuelekea kwenye dini au kutoka kwenye dini na kuanza kuingia kwenye siasa? Kwa lugha nyingine mstari wa hii kitu unachorewa wapi?

3. Na kuhusu tamko la TEC; Kwanza hakuna cha kuchanganya dini na siasa au siasa na dini. Kanisa Katoliki kupitia kwa Baraza lao la maskofu (TEC) wametenda wajibu wao mtakatifu.

By the way, wewe Pascal Mayalla na wenzako mbona mnakimbilia kwenye kujadili TEC kwa kigezo cha kuchanganya na dini na siasa badala ya kujadili hoja zao zinazopinga mkataba wa bandari? Hii wewe unaionaje? Iko sawa kweli?
 
Kardinali Pengo alijibu haya maswali yako yote
 
Nimeumizwa na Uzi huu!
Wewe kama msomi ulitakiwa uuchambue sio unatuletea hisia zako,chefuzi kama hizi.

Viongozi wetu waliisha toa maoni Yao dhidi ya mkataba ule mbele ya raisi kwenye kikao cha pamoja na viongozi serikali.
Wameona maoni Yao yanapuuzwa wakajifungia wakaomba wakaja na maoni ambayo pia Kwa sehemu Mwenyezi Mungu amewagusa wayatoe wewe unawapinga hivi wewe mkatoliki Aina ya Tomaso,dunia ya Leo Una nafasi gani wewe?
Pascally uliyegombea ubunge kipindi cha utawala WA dhambi WA mwendazake Una nini la kutwanbia Sisi?

Wewe ungekuwa mkristu mwema usingekubali kugombea ubunge kipindi cha mwendazake.
 
Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.

Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.

Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!

Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.

Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.

Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.

Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.

Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.

Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.

Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.

Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.

Tumsifu Yesu Kristo

Paskali.
Neno la Mungu halikushuka kama mvua bali ni yale mema unayonena,unapokemea baya unanena yale ya kimungu.Biblia inakemea umasikini,ufisadi,uzembe na unyonyaji.Waraka ni kemeo la kimungu ndio maana watu tunasali ili Mungu awafunue viongozi wafikie maamuzi yatakayompendekeza Mungu.
 
unamshambulia bure mwenzako, hebusoma hii kutoka kwa Kalidinali Pengo

Kadinali Pengo ameyasema hayo wakati akiadhimisha ibada ya Jumapili ya matawi huko Bagamoyo katika tamasha la vijana.

“Katika wiki chache zilizopita watu wamekuja kwangu wakaniuliza unaionaje ile barua ya Maaskofu kuhusu Kwaresma mwaka huu? Ninazungumzia hilo na wala mtu asiende aka-quote kitu kingine ndio maana nataka kusema wazi kabisa:-
“Barua ile ijapokuwa hata jina langu mnaliona limeandikwa pale kwamba na mimi ni mmoja wa waandishi au watamkaji…mimi nimeipokea, baadhi yenu mmeshaipokea.
” Kwahiyo sioni namna gani mimi naweza kuwa mwandishi au mhubiri kwenu wa ile barua ambayo imetungwa labda na maaskofu…naamini na baadhi ya maaskofu lakini mimi mwenyewe hata nilikuwa sijaiona, hata nilikuwa sijaambiwa kuna kitu cha namna hiyo kinakuja.
“Tuelewane vizuri, ninaposema hivi sitaki kusema ile barua ni mbaya. Moja tu ni kwamba barua nzima imechanganya vitu viwili; Mwalimu angekuwepo angepiga kelele Maaskofu msichanganye Dini na Siasa.
“Angepiga kelele sana kuhusu waraka huu katika nyakati zake. Na hilo nawambia sina hofu, muende mkamwambie mtu yeyote nimesema hivi. Ndio wala msione aibu, najua labda hata wengine mmekunja nyuso, kunjeni tu lakini huo ndio msimamo wangu.
“Zipo sehemu katika waraka huo zinazochanganya Dini na Siasa na si kazi ya maaskofu ni kazi yenu wanasiasa mkiwa ni wa CHADEMA, mkiwa ni wa CCM lakini haiwezi kuwa kazi yangu mimi.
“Siwezi kwanza nikaanza kuchambua na ku-criticize Serikali katika mambo yaliyo yake; sikupewa mamlaka hayo. Na kwanini niwe padri mpaka nikubali kuwa Askofu na huku kumbe wito wangu ni siasa?
Ndugu Comte, sina comment na maneno ya Cardinal Pengo kama kweli ni yake. Siyo watu wote uwa na mtizamo wa aina moja ktk kila jambo.
Ila kuhusu hili la ndugu yangu Paschal Mayalla kwa kweli imebidi nimshangae maana kama yeye ni Mkatoliki ilibidi yeye ndiyo awe mstari wa mbele kuwaelimisha wasiyo wakatoriki taratibu za kanisa. Anaingia ktk mtego uleule wa kuchanganya siasa na dini.
 
How did you know that? What does he need a presidential appointment for? And what do you need, if I may ask?
I know him.He is a common pressman who live from hand to mouth.Wewe pengine ni masikini mwenzake.Hakuna mtangazaji tajiri bali matajiri ni wamiliki wa vyombo vya habari.Huyu kijana anatafuta uteuzi.shenzi kabisa.
 
Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.

Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.

Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!

Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.

Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.

Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.

Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.

Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.

Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.

Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.

Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.

Tumsifu Yesu Kristo

Paskali.
Maaskofu wa Kanisa Katoliki wanateuliwa na kutenguliwa na Vatikani, sawa na balozi wa Marekani au India
Sasa iweje wawakilishi wa serikali ya Vatican waingilie sera ya nchi yetu na kuwaagiza wananchi wetu kuhusu sera zetu? Mabalozi wa kigeni wakifanya hivyo tungekubali? Naomba ufafanuzi
 
I know him.He is a common pressman who live from hand to mouth.Wewe pengine ni masikini mwenzake.Hakuna mtangazaji tajiri bali matajiri ni wamiliki wa vyombo vya habari.Huyu kijana anatafuta uteuzi.shenzi kabisa.
Huu utajiri au umasikini wa Paskali unaingiaje katika maoni yake? Yaani kila unapotofautiana na mtu maana yake ni yu masikini? be serious
 
Kwanza rudi shuleni ukasome sarufi ya kiingereza maana kiingereza chako kinaonyesha umesoma juzijuzi elimu ikiwa imeharibika ukasoma tujifunze lugha yetu kibanga ampiga mkoloni very far away from like of us who went through cambridge tutorial papers.
 
Mapadre (wakiwemo maaskofu) wamepewa mamlaka hayo:

Mathayo 18:18
Amin, nawaambieni: yoyote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni, na yoyote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.
 
Mayala sidhani kama utaaminiwa na ujumbe huo kutolewa eneo upendekezalo.
Lakini je,wayaamini haya :

"Esta 4
7 Naye Mordekai akamweleza yote yaliyompata, na hesabu ya fedha Hamani aliyoahidi kulipa katika hazina ya mfalme, ili Wayahudi waangamizwe.

14 Kwa maana wewe ukinyamaza kabisa wakati huu, ndipo kutakapowatokea Wayahudi msaada na wokovu kwa njia nyingine; ila wewe utaangamia pamoja na mlango wote wa baba yako; walakini ni nani ajuaye kama wewe hukuujia ufalme kwa ajili ya wakati kama huo?"
 
Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya mwisho pia ni Katoliki, ila ni waumini wa type ya Tomaso!.

Imani ni kitu very delicate, unaambiwa Mungu yuko mbinguni, unaamini bila kujiuliza lolote!. Unaambiwa kuna peponi, unaamini!, unaambiwa kuna motoni, unaamini!. Unaambiwa kuna malaika wanaruka kwa mabawa, unaamini!. Unaambiwa kuna shetani na kuna mapepo unaamini!. Sisi waumini wa Tomaso type tukiambiwa chochote, huwa tunauliza na kujiuliza!.

Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to Hinduism na Buddhism!

Watu tuna tendency ya kuwaamini sana viongozi wetu wa dini kuwa mafundisho yao yote ni mafundisho ya Mungu, neno lao ni neno la Mungu!.

Kanisa langu Katoliki Tanzania from time to time, huwa linatoa Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kuzungumzia jambo lolote kiwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.

Hivi karibuni TEC imetoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu. Waraka huo umesomwa wote kwenye misa zote, na ibada zote za makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima, kwa wiki mbili mfululizo.

Kwa vile waraka huo unasomewa altareni, madhabahuni na mimbarini, Hivyo kuna baadhi ya Wakristo Wakatoliki wanadhani waraka huo wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni sehemu ya ibada na ni neno la Mungu!.

Hivyo Wakatoliki waaminifu na watiifu wakauamini waraka huo kwa kudhani ni neno la Mungu, hivyo kuuheshimu hadi kudhani usipokubaliana nao, ni kwenda kinyume cha kanisa Katoliki hadi wengine kudhani ukitofautiana na msimamo wa Maaskofu Katoliki Tanzania ni kutenda dhambi!.

Natoa wito kwa kanisa langu, ambalo ni kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume, Ili kuepuka kuchanganya dini na siasa, waumini Wakatoliki pia tuambiwe ukweli kuwa Waraka ule wa TEC, Sio Neno la Mungu!, ni maoni ya Maaskofu Katoliki Tanzania na sio maagizo ya Mungu na mtu Mkatoliki usipokubaliana na waraka huo, sio dhambi na wala sio kosa lolote kutotii waraka wa TEC, ili Wakatoliki wote wanaiunga mkono serikali yetu katika issue ya DPW na Bandari zetu, wasikose amani ndani ya nafsi zao!.

Na ili kuepuka mkanganyiko ya kutukanganya waumini kuhusu uwezekano wa kuchanganya dini na siasa, kunapotokea nyaraka au maagizo ya kidunia ambayo sio ya Mungu, kama hili tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, lisiwe linasomewa madhabahuni, liwe linasomewa kwenye podium ya chini, ili lisije kuhesabika nalo ni neno la Mungu!, au ni sehemu ya ibada kumbe ni mambo tuu ya kidunia na sio mambo ya Mungu!.

Hivyo sisi Watanzania Wakatoliki tunao unga mkono uwekezaji wa DPW kwa Bandari zetu, tusikose amani ndani ya nafsi zetu kwa kutokubaliana na Maaskofu wetu, ambao ni viongozi wetu wa dini, tunao waamini sana, tunawaheshimu sana na kuwategemea sana kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu kwenye makao yetu ya milele!.

Tumsifu Yesu Kristo

Paskali.
Wananchi kila mahala, kila kijiwe wanaona IGA haifai na imejaa ufisadi.
 
Hamisi yuko sahihi. Mwenye nyumba ahojiwi, analalamikiwa.

Na kwa mujibu wa Katiba ya JMT, iko wazi ni nani Mwenye Nyumba.
Kuhoji ni kuuliza jambo na kutaka litolewe ufafanuzi, watanzania wana haki ya kumhoji Rais hata kama ni in direct lkn ujumbe ufike na hujavunja sheria!! Nadhan ungeiweka sawa context yako kua ... Wanaccm hawapasw kumhoji mwenyekiti wao na sio wananchi!!
 
Back
Top Bottom