Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Watu Pwani sio wote waliostaarabika ila wapo wastaarabu wachache tatizo hko ujuaji mwingi ila kicwani wengi wapo empty!
Watu wa pwani wote wastaarabu,na huwa tunatanguliza sana utu kuliko kitu
 
Aisee hii jumbe ni ya kibabe sana.

Wanafikiri kumfananisha Kinjekitile Ngwale kamanda na jemedari uwanja wa vita ni sawa na Ng'wanamalundi aliyesifika kwa ulozi tu.

Wajue kwa nini mpaka Leo wanaihofia mtwara hiyo serikari.
 
we aliyekwambia songea ni pwani nani ?
hebu tafuta abushiri aliwafanya nini nduguze ili asipigane vita
Hujui historia ndugu?

Vita ya maji maji ilianzia Kijiji Cha kibata wilaya ya kibiti mkoa wa pwani.

Ikaenda kumalizikia Songea,

Ndio mjue pwani sio wa mchezo mchezo
 
watu wa pwani mlivyowapokea waarabu mkawa mnawapeleka hadi bara wakafuate watumwa kama sio kuwauza ndugu zenu ni nini ?
nyinyi waoga

hamjapigana vita yoyote
Kuna umuhimu wa kuwafunza historia hawa ndugu.

Vita vya abushiri kule pangani dhidi ya wajerumani mwaka.
 
Tumekuumbeni" means more than one!halafu anatokea chawa mmoja wa waarabu anakuambia mungu ni mmoja na hana mshirika.
 
..Aliwahi sema Dully Skyes kuwa Fid Q ni mtoto wa mjini lakini ni mjini Mwanza, mimi (Dully) ni mtoto wa mjini lakini ni mjini Dar es Salaam tena Kariakoo....kwa hiyo kuna mtoto wa mjini na mtoto wa mjini Dar es salaam hawawezi kuwa sawa!
Very funny lakini Fid q ni mwerevu kuliko duly sykes hili liko wazi kama utaituliza akili yako.
 
Hujui historia ndugu?

Vita ya maji maji ilianzia Kijiji Cha kibata wilaya ya kibiti mkoa wa pwani.

Ikaenda kumalizikia Songea,

Ndio mjue pwani sio wa mchezo mchezo
Hii historia ya watu wa pwani kupigana vita ya majimaji imeibwa na kupelekwa Songea. Nashauri pwani kuanzishwe makumbusho ya majimaji.
 
Watu wa pwani walishazoea kuitwa Washenzi na Waarabu

Na wamezoea Utumwa tangu zamani. Hivi sasa wanatumikishwa na wahindi na watu wa bara waliowekeza huko

Ni wavivu sana [emoji23]
 
wahaya tuko mbali Sana,ukinambia sjui wa pwani na bara sikuelewi,sisi tumeingia ulaya kabla nchi haijapata uhuru
 
Tulishika Dora, sahii hipo ikulu, na ujinga wetu wa mingoma hupo nyonyo, tumeweka historia.
Mmeweka historia kwa kuvaa msuli na Madera, kupiga umbea na kunywa pombe ya mnazi.

Musee mmetisha kwa ujinga, jiji limeshatwaliwa na wajanja kutoka bara njoo huku Tegeta na Mbezi shamba uone jinsi watu wa bara wanyopiga hela kijanja
 
Hata Nyerere Alifika DSM akakubaliana na Wazee wa Pwani hapa ndo mambo yakaenda kwa baraka zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…