BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
Watu wa pwani wote wastaarabu,na huwa tunatanguliza sana utu kuliko kituWatu Pwani sio wote waliostaarabika ila wapo wastaarabu wachache tatizo hko ujuaji mwingi ila kicwani wengi wapo empty!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa pwani wote wastaarabu,na huwa tunatanguliza sana utu kuliko kituWatu Pwani sio wote waliostaarabika ila wapo wastaarabu wachache tatizo hko ujuaji mwingi ila kicwani wengi wapo empty!
Watu wa pwani tunatanguliza utu kuliko kitu ndio mana tunakufa masikini na tunapigwa fix kila sikuWatu wa pwani wote wastaarabu,na huwa tunatanguliza sana utu kuliko kitu
Sisi wajinga sawa Ila tumeweka saini ikulu, tulishika Dora ya nchi, sawa muhenga.Hakuna watu wajinga kama wakwere na wazaramo, sina shida na washamba wa bara ila kwa hawa wajinga wa pwani ndio ni sifuri kichwani.
Hiyo inasaidia niniSisi wajinga sawa Ila tumeweka saini ikulu, tulishika Dora ya nchi, sawa muhenga.
Alafu ikikusaidia ili, unanidai.Hiyo inasaidia nini
Mbona jazba MkuuAlafu ikikusaidia ili, unanidai.
Aisee hii jumbe ni ya kibabe sana.Wewe jamaa zero kabisq, et watu wa pwani hata vita hawawezi, Vita vya Maji maji walipigana akina nani?... nyie mijitu ya bara ndio mlikuwa mbumbumbu hamkuyaona waliyoyaona watu wa pwani
Mlikuwa loyal kwa wakoloni. Wakat watu wa pwan kitambo walipinga kuchukuliwa maeneo yao na mzungu.
Watu wa pwan hata mzungu alivua kofia, wakipewa mbegu za mazao ya biashara walime kwa lazima wao walikuwa wanazichemsha kwanza ndio wanapanda.
Hujui historia ndugu?we aliyekwambia songea ni pwani nani ?
hebu tafuta abushiri aliwafanya nini nduguze ili asipigane vita
Kuna umuhimu wa kuwafunza historia hawa ndugu.watu wa pwani mlivyowapokea waarabu mkawa mnawapeleka hadi bara wakafuate watumwa kama sio kuwauza ndugu zenu ni nini ?
nyinyi waoga
hamjapigana vita yoyote
Tumekuumbeni" means more than one!halafu anatokea chawa mmoja wa waarabu anakuambia mungu ni mmoja na hana mshirika.ALLAAH Aliyetukuka Anasema:
“Enyi watu! Hakika Sisi Tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na Tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa ALLAAH ni huyo aliye mcha Mungu zaidi katika nyinyi” (al-Hujuraat 49: 13).
Na Mtume wa ALLAAH (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
“Hakuna ubora wa Mwarabu kwa asiyekuwa Mwarabu, wala mweupe juu ya mweusi ... isipokuwa kwa taqwa (ucha Mungu)”.
Very funny lakini Fid q ni mwerevu kuliko duly sykes hili liko wazi kama utaituliza akili yako...Aliwahi sema Dully Skyes kuwa Fid Q ni mtoto wa mjini lakini ni mjini Mwanza, mimi (Dully) ni mtoto wa mjini lakini ni mjini Dar es Salaam tena Kariakoo....kwa hiyo kuna mtoto wa mjini na mtoto wa mjini Dar es salaam hawawezi kuwa sawa!
Hii historia ya watu wa pwani kupigana vita ya majimaji imeibwa na kupelekwa Songea. Nashauri pwani kuanzishwe makumbusho ya majimaji.Hujui historia ndugu?
Vita ya maji maji ilianzia Kijiji Cha kibata wilaya ya kibiti mkoa wa pwani.
Ikaenda kumalizikia Songea,
Ndio mjue pwani sio wa mchezo mchezo
Hahaa njomba nchumaliKama Wamakonde wana ujanja gani,ishirini Mmakonde anasema ichirini
Kama ni saini iliwekwa na mtu, ila watu wa pwani ni vilaza 99% ndio maana mmekomea Chalinze tu 😂Sisi wajinga sawa Ila tumeweka saini ikulu, tulishika Dora ya nchi, sawa muhenga.
Tulishika Dora, sahii hipo ikulu, na ujinga wetu wa mingoma hupo nyonyo, tumeweka historia.Kama ni saini iliwekwa na mtu, ila watu wa pwani ni vilaza 99% ndio maana mmekomea Chalinze tu [emoji23]
Mmeweka historia kwa kuvaa msuli na Madera, kupiga umbea na kunywa pombe ya mnazi.Tulishika Dora, sahii hipo ikulu, na ujinga wetu wa mingoma hupo nyonyo, tumeweka historia.