Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Kila mtu na mshenz wake,na wao wakawapata washenz wao kutoka bara wakawa wanawadalalia waarabu,sasa hapo mjanja nani??[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Huo ndio ukweli. Mimi ujanja nilijifunzia Dar. Wakati naenda kule kusoma tuisheni nilijikuta sijui vitu vingi sana
 
Mmeweka historia kwa kuvaa msuli na Madera, kupiga umbea na kunywa pombe ya mnazi.

Musee mmetisha kwa ujinga, jiji limeshatwaliwa na wajanja kutoka bara njoo huku Tegeta na Mbezi shamba uone jinsi watu wa bara wanyopiga hela kijanja
Shule hatuna, ikulu tulikaa, na saini tumeacha kwenye white house ya nchi, msoga Kuna ikulu ndogo vijijini kwenu hipo titi.
 
Hawa watu wanabaguana wenyewe kwa wenyewe huku kwao.

Nilivyokuwa Tabora wilaya ya Kaliua, niliwakuta wakilalamika wanyamwezi kuwatenga.

Nilivyofika huku napo nikatuta hawapendani na kubaguana wenyewe kwa wenyewe.

Hivyo ubaguzi ni asili yao ila Sasa wanataka kuusambaza Tanzania nzima
Hawa watu ni hatari sana,ni wakabila mno
 
Basi hivo ndivo ilivo.

Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu Pwani.

Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.

Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.

Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.

Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni.

Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.

Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Ni kweli ilikua hivyo lakini kikaja kitu kinaitwa madaraka, pesa na mali kila kitu kilitenguliwa...ndo maana akatokea mlugaluga mmoja kutoka kijijini na akaijambisha nchi nzimaa.
 
Yaani hii mijitu ya pwani inajisifia kuletewa ustaarabu badala ya kustaarabika wenyewe. Ona sasa imekuwa wapangaji wa wakuja. Imebaki nanuswahili tu
 
Hii historia ya watu wa pwani kupigana vita ya majimaji imeibwa na kupelekwa Songea. Nashauri pwani kuanzishwe makumbusho ya majimaji.
Tena tuliaminishwa eti tulikua dhaifu hatuna hata bunduki,kumbe vita tulipigana na bunduki pamoja na silaha nyengine
 
Shule hatuna, ikulu tulikaa, na saini tumeacha kwenye white house ya nchi, msoga Kuna ikulu ndogo vijijini kwenu hipo titi.
Aliyekaa ikulu alikuwa pacha wake na mzee wa mimnvi wapigaji wa kitaifa, hao ndio wamechangia sana kuhusu umaskini, maradhi, na ujinga wenu.

Endelea kujisifu huku mzee wa Msoga akijambia bakuli lako la mbilimbi we fala wa pwani 😄
 
Basi hivo ndivo ilivo.

Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu Pwani.

Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.

Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.

Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.

Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni.

Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.

Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Ramadhan dau sio mhaya dau ni majina ya kihaya
 
Aliyekaa ikulu alikuwa pacha wake na mzee wa mimnvi wapigaji wa kitaifa, hao ndio wamechangia sana kuhusu umaskini, maradhi, na ujinga wenu.

Endelea kujisifu huku mzee wa Msoga akijambia bakuli lako la mbilimbi we fala wa pwani [emoji1]
Nyie ambao sio mafala, kwenu mmetoa mtu au mmeweka saini white house, au tabia zenu za ubaguzi, washamba ambao walugakuga kiswahili kimeanzia kwetu, kazi kutuonea wivu, mpambane na ulugaluga wenu.
 
Nyie ambao sio mafala, kwenu mmetoa mtu au mmeweka saini white house, au tabia zenu za ubaguzi, washamba ambao walugakuga kiswahili kimeanzia kwetu, kazi kutuonea wivu, mpambane na ulugaluga wenu.
Kiswahili kilianzia kwenu 😄😄hilo ndio jambo la kujisifu?

Una akili ya panzi kabisa fala we
 
Uzi huu unagawanya watu kijinga, kwa sababu hawajui historia.

Hao wanaojiita watu wa pwani wenyewe ni wakuja tu huko pwani, kwa sababu wabantu wamekuja hivi karibuni katika ardhi ambayo sasa ni Tanzania.

Karibu wote wametokea bara.

Mfano, Wazaramo ni Waluguru waliokimbilia pwani.

Na watu wengi wa kizazi cha sasa wamechanganya sana makabila.
 
Una jeuri ya kumpeleka mume wa aliyekuzaa jando? Akili yako ni ya panzi tu maana hujui kuwa govi lilimwaga mbegu kisha ukazaliwa [emoji16][emoji16]
Mlugaluga, govi linaleta magonjwa, msungo mlete mkeo tumfunde tumfundishe Nini maana ya shanga, hata wewe njoo tukuweke jando ujue maana, kazi kubishana ujapelekwa jando.
 
Ni kwamba waarabu walivyokuja kufanya biashara haramu ya utumwa walifikia kwenye mikoa ya pwani na hata wakoloni pia ilikuwa ni hivyo hivyo.

Hivyo kwa kuwa wenyeji wao walikuwa ni watu waliokuwa wakiishi maeneo hayo basi waliwafundisha ustaarabu mwingi ambao wenzao wa bara walikuwa hawaujui.
 
Mlugaluga, govi linaleta magonjwa, msungo mlete mkeo tumfunde tumfundishe Nini maana ya shanga, hata wewe njoo tukuweke jando ujue maana, kazi kubishana ujapelekwa jando.
Ulienda jando baada ya kutoka jando ukaolewa na mpemba ukazibuliwa mtaro 😀😀hivi bado wavaa shanga? Hata wamasai wanavaa hizo kitu, ila wanaakili nyingi kuliko wazaramo.

Endelea na ushoga wako uzibuliwe mtaro na govi 😁😁
 
Ulienda jando baada ya kutoka jando ukaolewa na mpemba ukazibuliwa mtaro [emoji3][emoji3]hivi bado wavaa shanga? Hata wamasai wanavaa hizo kitu, ila wanaakili nyingi kuliko wazaramo.

Endelea na ushoga wako uzibuliwe mtaro na govi [emoji16][emoji16]
Mtaro umeuongelea kwakuwa jadi yenu kwenu, wamasai wanavaa masikioni, msungo kweli, kakate govi fala kafie mbele huko.
 
Fa
Mtaro umeuongelea kwakuwa jadi yenu kwenu, wamasai wanavaa masikioni, msungo kweli, kakate govi fala kafie mbele huko.
Fala ni mzaramo yeyote aliyekimbilia mjini kuuza maji ya barafu na kahawa kama wewe bwashee 😂
 
Ukweli ni huo Mkuu,

Bara ni shamba na dunia ilianza kuchangamka maeneo ya pwani tokea kitambo.

Wakati watu wa pwani wanajenga miji yao na kuishi pamoja kule sigimbi ndio kwanza watu walikuwa wanagombea mapango na mawe yaliyolainika Kwa ajili ya makazi.

Wengi wao wakiishi katika koo zao pasi na kuchanganyika na watu wengine.

Unakuta Kila ukoo na chaka lake,ustaarabu utatokea wapi. Unakuta binadamu anatoa harufu Kali ya beberu,mwili wake umefunikwa Kwa vipande vya ngozi (lubega) huyo ndo mtawala wao na wale watawaliwa wameficha pale mbele kwenye kiwanda Cha kuchakata watoto Kwa kipande Cha ngozi huku makalio yakiendelea kufurahia mandhari.

Huwezi kumfananisha mtu wa pwani ambaye anaujua ustaarabu tokea zamani na mtu ambaye akiamka asubuhi anasafisha uso wake Kwa mkojo wa punda hata siku moja.

Watu wa pwani wazee wa vibarakashia wanywa kahawa huku wakishushia na kashata nyakati za jioni wamejivalia misuli huku wakibalizi Kwa mbaali wavuvi wanatoka baharini na samaki walionona. Wakati huo ukipita mitaani unakutana na mpishano mkali wa harufu ya chakula kinachoandaliwa Kwa ustadi wa hali juu.

Kadiri usogeavyo unapata kusikia sauti za pe pe pe pe ni wale wanaopepeta mchele,na zile za kro kro kro za wale wanaokuna Nazi. Si mtu wa pwani yule asiyeijua ladha halisi ya wali nazi.

Wakati huo kule bara ni muda wa kula mihogo na viazi Ile iliyochomwa kwenye jivu la moto. Vitoto vyao vikifukuzana na kuparamia mtu huu na ule. Na wale vijana ndo muda wao wa kurudi kuokota mabungo na wengine wakiburuza minofu ya nyumbu kutoka mawindoni.

Ama Kwa hakika watu wa pwani duniani kote ndio kielelezo cha kustaarabika.
Huna akili
 
Back
Top Bottom