BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Kila mtu na mshenz wake,na wao wakawapata washenz wao kutoka bara wakawa wanawadalalia waarabu,sasa hapo mjanja nani??[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Kila mtu na mshenz wake,na wao wakawapata washenz wao kutoka bara wakawa wanawadalalia waarabu,sasa hapo mjanja nani??[emoji1787][emoji1787]
Shule hatuna, ikulu tulikaa, na saini tumeacha kwenye white house ya nchi, msoga Kuna ikulu ndogo vijijini kwenu hipo titi.Mmeweka historia kwa kuvaa msuli na Madera, kupiga umbea na kunywa pombe ya mnazi.
Musee mmetisha kwa ujinga, jiji limeshatwaliwa na wajanja kutoka bara njoo huku Tegeta na Mbezi shamba uone jinsi watu wa bara wanyopiga hela kijanja
Hawa watu ni hatari sana,ni wakabila mnoHawa watu wanabaguana wenyewe kwa wenyewe huku kwao.
Nilivyokuwa Tabora wilaya ya Kaliua, niliwakuta wakilalamika wanyamwezi kuwatenga.
Nilivyofika huku napo nikatuta hawapendani na kubaguana wenyewe kwa wenyewe.
Hivyo ubaguzi ni asili yao ila Sasa wanataka kuusambaza Tanzania nzima
Ni kweli ilikua hivyo lakini kikaja kitu kinaitwa madaraka, pesa na mali kila kitu kilitenguliwa...ndo maana akatokea mlugaluga mmoja kutoka kijijini na akaijambisha nchi nzimaa.Basi hivo ndivo ilivo.
Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu Pwani.
Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.
Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.
Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.
Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni.
Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.
Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Tena tuliaminishwa eti tulikua dhaifu hatuna hata bunduki,kumbe vita tulipigana na bunduki pamoja na silaha nyengineHii historia ya watu wa pwani kupigana vita ya majimaji imeibwa na kupelekwa Songea. Nashauri pwani kuanzishwe makumbusho ya majimaji.
Aliyekaa ikulu alikuwa pacha wake na mzee wa mimnvi wapigaji wa kitaifa, hao ndio wamechangia sana kuhusu umaskini, maradhi, na ujinga wenu.Shule hatuna, ikulu tulikaa, na saini tumeacha kwenye white house ya nchi, msoga Kuna ikulu ndogo vijijini kwenu hipo titi.
Ramadhan dau sio mhaya dau ni majina ya kihayaBasi hivo ndivo ilivo.
Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu Pwani.
Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.
Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.
Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.
Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni.
Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.
Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Nyie ambao sio mafala, kwenu mmetoa mtu au mmeweka saini white house, au tabia zenu za ubaguzi, washamba ambao walugakuga kiswahili kimeanzia kwetu, kazi kutuonea wivu, mpambane na ulugaluga wenu.Aliyekaa ikulu alikuwa pacha wake na mzee wa mimnvi wapigaji wa kitaifa, hao ndio wamechangia sana kuhusu umaskini, maradhi, na ujinga wenu.
Endelea kujisifu huku mzee wa Msoga akijambia bakuli lako la mbilimbi we fala wa pwani [emoji1]
Kiswahili kilianzia kwenu 😄😄hilo ndio jambo la kujisifu?Nyie ambao sio mafala, kwenu mmetoa mtu au mmeweka saini white house, au tabia zenu za ubaguzi, washamba ambao walugakuga kiswahili kimeanzia kwetu, kazi kutuonea wivu, mpambane na ulugaluga wenu.
Mlugaluga, govi linaleta magonjwa, msungo mlete mkeo tumfunde tumfundishe Nini maana ya shanga, hata wewe njoo tukuweke jando ujue maana, kazi kubishana ujapelekwa jando.Una jeuri ya kumpeleka mume wa aliyekuzaa jando? Akili yako ni ya panzi tu maana hujui kuwa govi lilimwaga mbegu kisha ukazaliwa [emoji16][emoji16]
Ulienda jando baada ya kutoka jando ukaolewa na mpemba ukazibuliwa mtaro 😀😀hivi bado wavaa shanga? Hata wamasai wanavaa hizo kitu, ila wanaakili nyingi kuliko wazaramo.Mlugaluga, govi linaleta magonjwa, msungo mlete mkeo tumfunde tumfundishe Nini maana ya shanga, hata wewe njoo tukuweke jando ujue maana, kazi kubishana ujapelekwa jando.
Mtaro umeuongelea kwakuwa jadi yenu kwenu, wamasai wanavaa masikioni, msungo kweli, kakate govi fala kafie mbele huko.Ulienda jando baada ya kutoka jando ukaolewa na mpemba ukazibuliwa mtaro [emoji3][emoji3]hivi bado wavaa shanga? Hata wamasai wanavaa hizo kitu, ila wanaakili nyingi kuliko wazaramo.
Endelea na ushoga wako uzibuliwe mtaro na govi [emoji16][emoji16]
Fala ni mzaramo yeyote aliyekimbilia mjini kuuza maji ya barafu na kahawa kama wewe bwashee 😂Mtaro umeuongelea kwakuwa jadi yenu kwenu, wamasai wanavaa masikioni, msungo kweli, kakate govi fala kafie mbele huko.
Huna akiliUkweli ni huo Mkuu,
Bara ni shamba na dunia ilianza kuchangamka maeneo ya pwani tokea kitambo.
Wakati watu wa pwani wanajenga miji yao na kuishi pamoja kule sigimbi ndio kwanza watu walikuwa wanagombea mapango na mawe yaliyolainika Kwa ajili ya makazi.
Wengi wao wakiishi katika koo zao pasi na kuchanganyika na watu wengine.
Unakuta Kila ukoo na chaka lake,ustaarabu utatokea wapi. Unakuta binadamu anatoa harufu Kali ya beberu,mwili wake umefunikwa Kwa vipande vya ngozi (lubega) huyo ndo mtawala wao na wale watawaliwa wameficha pale mbele kwenye kiwanda Cha kuchakata watoto Kwa kipande Cha ngozi huku makalio yakiendelea kufurahia mandhari.
Huwezi kumfananisha mtu wa pwani ambaye anaujua ustaarabu tokea zamani na mtu ambaye akiamka asubuhi anasafisha uso wake Kwa mkojo wa punda hata siku moja.
Watu wa pwani wazee wa vibarakashia wanywa kahawa huku wakishushia na kashata nyakati za jioni wamejivalia misuli huku wakibalizi Kwa mbaali wavuvi wanatoka baharini na samaki walionona. Wakati huo ukipita mitaani unakutana na mpishano mkali wa harufu ya chakula kinachoandaliwa Kwa ustadi wa hali juu.
Kadiri usogeavyo unapata kusikia sauti za pe pe pe pe ni wale wanaopepeta mchele,na zile za kro kro kro za wale wanaokuna Nazi. Si mtu wa pwani yule asiyeijua ladha halisi ya wali nazi.
Wakati huo kule bara ni muda wa kula mihogo na viazi Ile iliyochomwa kwenye jivu la moto. Vitoto vyao vikifukuzana na kuparamia mtu huu na ule. Na wale vijana ndo muda wao wa kurudi kuokota mabungo na wengine wakiburuza minofu ya nyumbu kutoka mawindoni.
Ama Kwa hakika watu wa pwani duniani kote ndio kielelezo cha kustaarabika.