Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Basi hivo ndivo ilivo.
Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu pwani.
Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.
Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.
Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.
Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni,
Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.
Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Nauliza
20220530_041927.jpg
 
Kwani uongo? Hata ukienda Dar na kurudi mkoani unaona kabisa umekuja shambani 😂😂
 
Mibara mishamba sana hayajui kuvaa bongo fleva tudominant mpaka ukaja jielewa ilikuwa hata kutahiriwa haijui

Mibara yeyote huniambii kitu washamba wakubwa ustaarabu zero kuoga shida
 
hawa watu wa pwani ni watu wa hovyo na umbea wake kwa waume uvivu tu umewajaa waoga sana vita hawaziwezi wao kusemana tu

ndio maana mababu zao waliliwa sana na wale jamaa kwa kisingizio tulikuwa tunakunywa gahawa na zawadi za misuli na sahani za udongo
Wewe jamaa zero kabisq, et watu wa pwani hata vita hawawezi, Vita vya Maji maji walipigana akina nani?... nyie mijitu ya bara ndio mlikuwa mbumbumbu hamkuyaona waliyoyaona watu wa pwani

Mlikuwa loyal kwa wakoloni. Wakat watu wa pwan kitambo walipinga kuchukuliwa maeneo yao na mzungu.

Watu wa pwan hata mzungu alivua kofia, wakipewa mbegu za mazao ya biashara walime kwa lazima wao walikuwa wanazichemsha kwanza ndio wanapanda.
 
Hivi unajua wanaume/watu wa pwani Wana Tabia za kike/wanaume wa Dar mmewasahau?kazi kuchekacjheka,kujichubua,kurembua,mashoga woote wanatoka pwani,wanajambishwa na vitoto vidogo,yaani panya rodi🤣🤣.🚮🚮
 
Karibuni pwani nyie wabara mje mle samakiView attachment 2245691
Samaki wenyewe hamna ubavu wa kuwala nilienda lindi bei ya samaki dar afadhali angalau mvuvi ila wasio wavuvi hata mwezi wanaweza wasile tofauti na wa mwambao wa ziwa victoria,tanganyika,nyasa na rukwa.Samaki kwao anaepatikana kiurahisi mtamu eti ni kibua!
 
Wewe jamaa zero kabisq, et watu wa pwani hata vita hawawezi, Vita vya Maji maji walipigana akina nani?... nyie mijitu ya bara ndio mlikuwa mbumbumbu hamkuyaona waliyoyaona watu wa pwani

Mlikuwa loyal kwa wakoloni. Wakat watu wa pwan kitambo walipinga kuchukuliwa maeneo yao na mzungu.

Watu wa pwan hata mzungu alivua kofia, wakipewa mbegu za mazao ya biashara walime kwa lazima wao walikuwa wanazichemsha kwanza ndio wanapanda.
we aliyekwambia songea ni pwani nani ?
hebu tafuta abushiri aliwafanya nini nduguze ili asipigane vita
 
Wewe jamaa zero kabisq, et watu wa pwani hata vita hawawezi, Vita vya Maji maji walipigana akina nani?... nyie mijitu ya bara ndio mlikuwa mbumbumbu hamkuyaona waliyoyaona watu wa pwani

Mlikuwa loyal kwa wakoloni. Wakat watu wa pwan kitambo walipinga kuchukuliwa maeneo yao na mzungu.

Watu wa pwan hata mzungu alivua kofia, wakipewa mbegu za mazao ya biashara walime kwa lazima wao walikuwa wanazichemsha kwanza ndio wanapanda.
watu wa pwani mlivyowapokea waarabu mkawa mnawapeleka hadi bara wakafuate watumwa kama sio kuwauza ndugu zenu ni nini ?
nyinyi waoga

hamjapigana vita yoyote
 
Tuanzie kwenye ardhi,kule pwani ni kichanga na unavyozidi kwenda bara ni udongo mgumu,sasa hapo sijui tena na ushamba kuna mahusiano gani,ila kiufupi wengi ni washamba,yani watu wa kushangaa sana...
 
Uzuri wa watu wa Pwani hawana makuu...

Mwalimu Nyerere alipokewa na wazee wa town akina Sykes wakampa good time na kumpeleka mpaka UN kudai Uhuru na kisha wakamuacha awe Rais bila kinyongo..

Hata hapo Dar watu wengi wa bara wamepewa maeneo bure kabisa na wenyeweji japo leo wao wanayauza kwa mamilioni ya hela na kujiona wajaanja ilihali ukienda huko kwao hata eneo la kaburi ni dili...

Mpaka leo hii huko Kilwa, na baadhi ya vijiji vya mkoa wa Pwani Wasukuma wanapewa maeneo bure walime...

Kilwa iliwahi kuwa na maghorofa na mji ulioendelea zama hizo kabla hata ya mkoloni..

Bagamoyo na Mzizima zenyewe zilikuwa town toka zama hizo kipindi wanyamwezi na wasukuma wanajificha mapolini huko..
Hata nguo na hivi vyoo vya kujisaidia vilianzia Pwani wakati wengine wakivaa majani..

Vingine ngoja niache
 
Back
Top Bottom