WORLD WAR 5
JF-Expert Member
- Aug 28, 2021
- 508
- 970
NaulizaBasi hivo ndivo ilivo.
Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu pwani.
Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.
Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.
Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.
Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni,
Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.
Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Kwani uongo? Hata ukienda Dar na kurudi mkoani unaona kabisa umekuja shambani 😂😂Basi hivo ndivo ilivo.

Walipokaa waarabi ndio pa kishamba balaa, linganisha na walipoishi wazunguHuu ni ukweli maeneo ambayo waarabu walikaa ustaarabu uliingia mapema Sana tofauti na maeneo Kama shinyanga
Wewe jamaa zero kabisq, et watu wa pwani hata vita hawawezi, Vita vya Maji maji walipigana akina nani?... nyie mijitu ya bara ndio mlikuwa mbumbumbu hamkuyaona waliyoyaona watu wa pwanihawa watu wa pwani ni watu wa hovyo na umbea wake kwa waume uvivu tu umewajaa waoga sana vita hawaziwezi wao kusemana tu
ndio maana mababu zao waliliwa sana na wale jamaa kwa kisingizio tulikuwa tunakunywa gahawa na zawadi za misuli na sahani za udongo
ww Fala Sana,samaki wapo ziwani piaKaribuni pwani nyie wabara mje mle samakiView attachment 2245691
Samaki wenyewe hamna ubavu wa kuwala nilienda lindi bei ya samaki dar afadhali angalau mvuvi ila wasio wavuvi hata mwezi wanaweza wasile tofauti na wa mwambao wa ziwa victoria,tanganyika,nyasa na rukwa.Samaki kwao anaepatikana kiurahisi mtamu eti ni kibua!Karibuni pwani nyie wabara mje mle samakiView attachment 2245691
we aliyekwambia songea ni pwani nani ?Wewe jamaa zero kabisq, et watu wa pwani hata vita hawawezi, Vita vya Maji maji walipigana akina nani?... nyie mijitu ya bara ndio mlikuwa mbumbumbu hamkuyaona waliyoyaona watu wa pwani
Mlikuwa loyal kwa wakoloni. Wakat watu wa pwan kitambo walipinga kuchukuliwa maeneo yao na mzungu.
Watu wa pwan hata mzungu alivua kofia, wakipewa mbegu za mazao ya biashara walime kwa lazima wao walikuwa wanazichemsha kwanza ndio wanapanda.
watu wa pwani mlivyowapokea waarabu mkawa mnawapeleka hadi bara wakafuate watumwa kama sio kuwauza ndugu zenu ni nini ?Wewe jamaa zero kabisq, et watu wa pwani hata vita hawawezi, Vita vya Maji maji walipigana akina nani?... nyie mijitu ya bara ndio mlikuwa mbumbumbu hamkuyaona waliyoyaona watu wa pwani