Taja huo ustaarabu.Huu ni ukweli maeneo ambayo waarabu walikaa ustaarabu uliingia mapema Sana tofauti na maeneo Kama shinyanga
Watu wa pwani ni wavivu Sana,kazi kucheza bao, wanawake wao kuolewa na kuachika siku moja. Ukienda ndani,utaona umasikini ulivyokithiri yaani watu wanaishi kwenye nyumba za makuti na tope🚮 alafu ni waoga balaa kama wanawake wao🤣🤣 ukienda kariakoo,wakinga na wachaga ndio wanamiliki biashara na maghorofa,huku watu wa pwani wakiwa panya rodi 🤣🤣🤣Basi hivo ndivo ilivo.
Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu Pwani.
Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.
Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.
Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.
Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni.
Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.
Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Umenikumbusha hadithi fulani, jamaa alipata mke wa ujana wake akaoa pwani.Ustaarabu ni nini? Kufanya kama wanavyofanya wazungu na waarabu? Asilimia kubwa ya vijana wa Pwani, wa kiume na wa kike wanafumuliwa nyuma..ndo ujanja huo?
- Watumwa walikuwa wanauzwa Ulaya na marekani Kwa WazunguTaja huo ustaarabu.
Tunavyojua waarabu ndio walianza kuuza waafrika kama nyanya ntole kwenye masoko, walileta ustaarabu wa kuwafanya wanawake waonekane duni mbele ya mwanaume.
Watu wa pwani ni wavivu Sana,kazi kucheza bao, wanawake wao kuolewa na kuachika siku moja. Ukienda ndani,utaona umasikini ulivyokithiri yaani watu wanaishi kwenye nyumba za makuti na tope🚮 alafu ni waoga balaa kama wanawake wao🤣🤣 ukienda kariakoo,wakinga na wachaga ndio wanamiliki biashara na maghorofa,huku watu wa pwani wakiwa panya rodi 🤣🤣🤣
- Ww ni Mzembe, Siku hizi Mashoga wapo Makabila yote Tanzania Hadi hao wakurya mnaowaona ni wababe Mashoga wapo wengi tuAcheni ushoga🤣🤣
na katika historia vita fupi duniani ilipiganwa zanzibar siku moja tu watu wa pwani wakaanza kulalamika yakhee vita si hatuwezi twaweza kunywa gahawa
vita ya maji maji ilitokea pwani ?
- Mbona hutaji vita ya Majimaji?
- Mbona hutaji kuwa vuguvugu la kupigania Uhuru lilianzia Pwani.
- Mwalimu Nyerere alikaribishwa Ndani ya TANU na Watu wa Pwani kina sheikh takadiri, kina dosaa azizi
Waambie wahaya wabara wenzako,Cha ajabu Kila shoga anatoka bara anaenda kutafuta wanaume pwani. Ukimuona shoga pwani ametoka bara pwani ameenda kufanya biashara.Acheni ushoga🤣🤣
😆😆 Wabara ndio wanamiliki maghorofa hapo kariakoo,wakinga na wachagaWaambie wahaya wabara wenzako,Cha ajabu Kila shoga anatoka bara anaenda kutafuta wanaume pwani. Ukimuona shoga pwani ametoka bara pwani ameenda kufanya biashara.
Aah wapi,ushoga uliletwa pwani na waarabu- Ww ni Mzembe, Siku hizi Mashoga wapo Makabila yote Tanzania Hadi hao wakurya mnaowaona ni wababe Mashoga wapo wengi tu
Alikaribishwa,alafu akawa ze Don kwa wavivu na mashoga wa pwani hapo magogoni
- Mbona hutaji vita ya Majimaji?
- Mbona hutaji kuwa vuguvugu la kupigania Uhuru lilianzia Pwani.
- Mwalimu Nyerere alikaribishwa Ndani ya TANU na Watu wa Pwani kina sheikh takadiri, kina dosaa azizi
Wakikaa wakatulia tuanze kuongelea tabia yao ya wanaume Kwa wanaume wanavyotoana Marinda huko pwani😂😂😂😂😂😂Comment ya Kwanza na ya pili imebeba dharau ya Hali yaa juu sn😅..watu mnaoishi sehemu za joto kwenye maji ya chumvi mna dharau sn Ila mnachojua ni kuvaa misuli na kucheza bao la kete kwenye vijiwe vya kahawa huku maendeleo mkipishana nayo
hail to all the pwani people.[emoji817][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Ukweli ni huo Mkuu,
Bara ni shamba na dunia ilianza kuchangamka maeneo ya pwani tokea kitambo.
Wakati watu wa pwani wanajenga miji yao na kuishi pamoja kule sigimbi ndio kwanza watu walikuwa wanagombea mapango na mawe yaliyolainika Kwa ajili ya makazi.
Wengi wao wakiishi katika koo zao pasi na kuchanganyika na watu wengine.
Unakuta Kila ukoo na chaka lake,ustaarabu utatokea wapi. Unakuta binadamu anatoa harufu Kali ya beberu,mwili wake umefunikwa Kwa vipande vya ngozi (lubega) huyo ndo mtawala wao na wale watawaliwa wameficha pale mbele kwenye kiwanda Cha kuchakata watoto Kwa kipande Cha ngozi huku makalio yakiendelea kufurahia mandhari.
Huwezi kumfananisha mtu wa pwani ambaye anaujua ustaarabu tokea zamani na mtu ambaye akiamka asubuhi anasafisha uso wake Kwa mkojo wa punda hata siku moja.
Watu wa pwani wazee wa vibarakashia wanywa kahawa huku wakishushia na kashata nyakati za jioni wamejivalia misuli huku wakibalizi Kwa mbaali wavuvi wanatoka baharini na samaki walionona. Wakati huo ukipita mitaani unakutana na mpishano mkali wa harufu ya chakula kinachoandaliwa Kwa ustadi wa hali juu.
Kadiri usogeavyo unapata kusikia sauti za pe pe pe pe ni wale wanaopepeta mchele,na zile za kro kro kro za wale wanaokuna Nazi. Si mtu wa pwani yule asiyeijua ladha halisi ya wali nazi.
Wakati huo kule bara ni muda wa kula mihogo na viazi Ile iliyochomwa kwenye jivu la moto. Vitoto vyao vikifukuzana na kuparamia mtu huu na ule. Na wale vijana ndo muda wao wa kurudi kuokota mabungo na wengine wakiburuza minofu ya nyumbu kutoka mawindoni.
Ama Kwa hakika watu wa pwani duniani kote ndio kielelezo cha kustaarabika.
Duu yaani basi Kama ni ukweli basi kweli ni ushamba wanamcheka ni sawapisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni
Alikaribishwa,alafu akawa ze Don kwa wavivu na mashoga wa pwani hapo magogoni
- Sio kweli, kalete chapisho lolote la kihistoria linalotaja huo Uongo?Aah wapi,ushoga uliletwa pwani na waarabu
vita ya maji maji ilitokea pwani ?
kiongozi wa vita alikuwa mla urojo ?
ongelea wahehe huko walivyopambana na wajerumani
Nyerere kajisomea zake huko na elimu yake ndo kaja kuwafundisha jinsi ya kupata uhuru
nyie mlichomfundisha ni kucheza bao na kumsomea dua
Sifa nyingine mbali na wali Nazi pia kufumuliwa marinda bila kujali jinsiaBasi hivo ndivo ilivo.