Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Mmeweka historia kwa kuvaa msuli na Madera, kupiga umbea na kunywa pombe ya mnazi.

Musee mmetisha kwa ujinga, jiji limeshatwaliwa na wajanja kutoka bara njoo huku Tegeta na Mbezi shamba uone jinsi watu wa bara wanyopiga hela kijanja
Badala ya kujivunia kujenga kwenu huko porini unajivunia kujenga kwa watu. Ukifa wanapeleka maiti yako kijijini kuzika! Tegeta,Kunduchi,Boko,Bunju mpaka Bagamoyo wamejaa Wazaramo kibao

Ona Wabara wenzako wanavyolalamika maisha magumu huko kijijini kwenu
 
Badala ya kujivunia kujenga kwenu huko porini unajivunia kujenga kwa watu. Ukifa wanapeleka maiti yako kijijini kuzika! Tegeta,Kunduchi,Boko,Bunju mpaka Bagamoyo wamejaa Wazaramo kibao
Tunapiga kote kote, bara hadi pwani tumejenga, nina wapangaji wazaramo huko Bunju na Tegeta, napiga hela kwenye viwanja vilivyotelekezwa na watu vilaza 😁
 
Tunapiga kote kote, bara hadi pwani tumejenga, nina wapangaji wazaramo huko Bunju na Tegeta, napiga hela kwenye viwanja vilivyotelekezwa na watu vilaza 😁
Pitia Pitia Sokota,Sudan,Kigamboni,Manzese,Buguruni Kuna dada zako mkuu. Buku 3000/ = unamaliza! Vyumba tumewapangisha sie Wazaramo na Wandengereko.

Anyway Mzaramo hapangi acha uongo.
 
Basi hivo ndivo ilivo.

Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu Pwani.

Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.

Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.

Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.

Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni.

Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.

Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
WASUKUMA acheni haya mambo sio mazuri

Kwanini nyie mnakua wakabila sana,yaani hata baada ya yule mkabila kuondoka na nyie hambadiliki tu???
 
Pitia Pitia Sokota,Sudan,Kigamboni,Manzese,Buguruni Kuna dada zako mkuu. Buku 3000/ = unamaliza! Vyumba tumewapangisha sie Wazaramo na Wandengereko.

Anyway Mzaramo hapangi acha uongo.
Mzaramo hapangi 😂😂
Kauze kahawa mtani ila watu wa bara hawafanyagi biashara za kifala kama kuuza kahawa na kashata 😂

Mademu wa kizaramo wanagongwa free tu na watu wa bara, unalijua hilo?
 
Mzaramo hapangi 😂😂
Kauze kahawa mtani ila watu wa bara hawafanyagi biashara za kifala kama kuuza kahawa na kashata 😂

Mademu wa kizaramo wanagongwa free tu na watu wa bara, unalijua hilo?
Ngosha? Ulimola! Kashata na kahawa wanauza watani zenu wa DODOMA. Mzaramo akipanga anaanza maisha. Ametoka kwao. Baada ya miaka miwili anajenga mji wake.

Hata mie nipo kanda ya ziwa kibiashara huku...wakina Nkamba,Nkwaya,Masalu,Kabula,Mwasi,Koku,Ebitoke,Robi,Gati,Nyambura,Bhoke,Kurwa,Wakuru ndio wananifanya nione maisha rahisi. Na Kiswahili changu Cha Daslaam yaani wanapenda kwelikweli, hawachomoi.😀😀
 
Sema, andika, kejeli,dharau ila sisi wa Bara "we call the tune"[emoji444][emoji444][emoji445]mtatupisha huku mjini, asikwambie mtu [emoji765][emoji765]ndo kila kitu.Big up Wakinga, Wachaga etc wanatuwakilisha vyema huko mjini kwenu.Mnauza site[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] wenyewe bila kulazimishwa[emoji706][emoji706][emoji706], kashikeni maeneo Ngolongo, Mwera hata bwawa la Nyerere ndo saizi yenu,hapa mjini mmeshapoteza .
 
Pwani pia visa vya mauaji ya wanawake ni vichache sana kulinganisha na bara!
 
Wabara wengi hawajui hata kuoga .Mabasi yakitoka bara yana harufu fulani mbaya
 
Hii historia ya watu wa pwani kupigana vita ya majimaji imeibwa na kupelekwa Songea. Nashauri pwani kuanzishwe makumbusho ya majimaji.
Kuna vitu vingi nchi hii vimebadilishwa asili yake kwa manufaa ya waliopo madarakani.

Leo tunasheherekea aliyepigania uhuru kuwa Nyerere wakati Kuna mamia ya watu walishiriki kwa nini wasitambuliwe wote! na kukumbukwa siku Moja.

Kizazi Cha Sasa watu hufikiri vita ya maji maji ilianzia Songea, kitu ambacho si kweli.

Hakuna sehemu tunayosoma kuhusu Nyerere kukoswa kupinduliwa zaidi ya mara tatu na wanajeshi wa Tanzania.
Hii mwishoni nafikiri wakina captain Maganga na bibi titi Mohammed walishiriki.

Hawaboost maendeleo ukanda wa pwani badala yake hupelekwa mbali mno au yanaletwa kwa kuchelewa mno.

Mfano: wilaya ya Mkuranga mkoa wa pwani ambayo imepakana na Dar es salaam Ina Barabara Moja tu ya rami ambayo inaunganisha mikoa ya kusini nje ya potential kubwa iliyonayo kiuchumi.

Wakati wilaya ndogo ya Bariadi mkoa wa simiyu Ina Barabara za lami nyingi za mitaa kuliko wilaya nzima ya Mkuranga, stendi ya kisasa kuliko Ile iliyopo mkoani Morogoro.

Sijui kwa nini huwa tunakosa Ile roho ya ubinafsi waliyonayo watu wa Kanda nyingine.
 
Watu wa pwani walishazoea kuitwa Washenzi na Waarabu

Na wamezoea Utumwa tangu zamani. Hivi sasa wanatumikishwa na wahindi na watu wa bara waliowekeza huko

Ni wavivu sana [emoji23]
Kuwa na adabu kwanza.

Watumwa walikamatwa bara kuletwa pwani ndio wakasafirishwa kupelekwa ughaibuni.

Jifunze heshima wewe mtwana.
 
wahaya tuko mbali Sana,ukinambia sjui wa pwani na bara sikuelewi,sisi tumeingia ulaya kabla nchi haijapata uhuru
Ila hakuna mkoa unao didimia kimaendeleo kama Kagera.

Nimetembelea kule mleba, bukoba mjini, karagwe kule umurshaka mpaka wilaya ya kyelwa pale kaisho na kibingo.
 
Pitia Pitia Sokota,Sudan,Kigamboni,Manzese,Buguruni Kuna dada zako mkuu. Buku 3000/ = unamaliza! Vyumba tumewapangisha sie Wazaramo na Wandengereko.

Anyway Mzaramo hapangi acha uongo.
Tupange tunatafuta nini?

Hao jamaa ndio unapata tafsiri halisi ya ulimbukeni.

Mwambie dada zao huku, inabidi umfundishe hadi kuchamba ndio umle
 
WASUKUMA acheni haya mambo sio mazuri

Kwanini nyie mnakua wakabila sana,yaani hata baada ya yule mkabila kuondoka na nyie hambadiliki tu???
Hawa watu wanabaguana wenyewe kwa wenyewe huku kwao.

Nilivyokuwa Tabora wilaya ya Kaliua, niliwakuta wakilalamika wanyamwezi kuwatenga.

Nilivyofika huku napo nikatuta hawapendani na kubaguana wenyewe kwa wenyewe.

Hivyo ubaguzi ni asili yao ila Sasa wanataka kuusambaza Tanzania nzima
 
Mzaramo hapangi [emoji23][emoji23]
Kauze kahawa mtani ila watu wa bara hawafanyagi biashara za kifala kama kuuza kahawa na kashata [emoji23]

Mademu wa kizaramo wanagongwa free tu na watu wa bara, unalijua hilo?
Nitajie kabila ambalo madem zake hawagongwi free.

Huku Wasukuma hasa hii jamii ya kinyantuzu hawajui kukataa.

Kule na nyanda za juu kusini yote, ni maharage ya Mbeya kweli kweli

Hapo Singida na Manyara yake nafikiri kila mtu anawajua

Kule bukoba ukitabasamu tu, mhaya kashalowa chini

Hao wachaga mpaka pesa wanakupa ila asiwe wa kishumundu tu.
 
W
Watu wa pwani walishazoea kuitwa Washenzi na Waarabu

Na wamezoea Utumwa tangu zamani. Hivi sasa wanatumikishwa na wahindi na watu wa bara waliowekeza huko

Ni wavivu sana [emoji23]
Watu wa Pwani/Waswahili ndio walikuwa wakamataji na madalali wa watumwa( ingawa hatujivunii na hatupendi kulisema hilo na hatulipendi kiutu) toka nyikani/bara kipindi. Kwa mfano nyie wachaga kisa cha kuitwa hilo jina ni kwamba nyie mlikuwa identified kama watu wa 'vichakani ( Wachaka) wanunuzi wa Kiarabu wakatamka (chagha). Mkapewa jina hilo mpaka leo. Though siku tumewapa nickname 'wa migombani' na baadae jina la ........Wapwani kutokana na ujanja wao hawakuwahi kuchukuliwa utumwa.

Na kuhusu uvivu hiyo ni nadharia ya miaka nenda rudi iliyowekwa na wazungu baada ya Wapwani ku-resist kufanyishwa kazi na hao wakoloni. Rejea historia ya vita vya majimaji chanzo na sababu yake. Ndio maana vibarua na kazi za manamba na zile za kutumia nguvu wakoloni walitenga miji ya bara kupata hao watu ambao. walikubali kikondoo
 
Ngosha? Ulimola! Kashata na kahawa wanauza watani zenu wa DODOMA. Mzaramo akipanga anaanza maisha. Ametoka kwao. Baada ya miaka miwili anajenga mji wake.

Hata mie nipo kanda ya ziwa kibiashara huku...wakina Nkamba,Nkwaya,Masalu,Kabula,Mwasi,Koku,Ebitoke,Robi,Gati,Nyambura,Bhoke,Kurwa,Wakuru ndio wananifanya nione maisha rahisi. Na Kiswahili changu Cha Daslaam yaani wanapenda kwelikweli, hawachomoi.😀😀
Jidanganye tu 😂
 
Watu Pwani sio wote waliostaarabika ila wapo wastaarabu wachache tatizo hko ujuaji mwingi ila kicwani wengi wapo empty!
Empty unaupima na nini?? Wangekuwa empty mji wao usingekimbiliwa na nyie wenye akili,mngeendeleza miji yenu walioepmty waje huko kiabakali au lujewa!
 
Watu wa pwani walishazoea kuitwa Washenzi na Waarabu

Na wamezoea Utumwa tangu zamani. Hivi sasa wanatumikishwa na wahindi na watu wa bara waliowekeza huko

Ni wavivu sana [emoji23]
Kila mtu na mshenz wake,na wao wakawapata washenz wao kutoka bara wakawa wanawadalalia waarabu,sasa hapo mjanja nani??[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom