huu ni uzi maalum wa kupasha/kujuzana habari mbalimbali,au kutuambia chochote ambacho we unahis kuna baadhi ya wanajamvi hawajui
mfano: 1je wajua..demu wa mkoani ukimwambia aje dar atakuambia nitumie nauli
2:je wajua kwenye watu kumi mmoja lazima atakua anaugua ugonjwa wa ajabu
3: je wajua mbagala ndio sehemu maarufu dar es salaam