je wajuaaaa?

je wajuaaaa?

Mr Global

Senior Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
150
Reaction score
125
huu ni uzi maalum wa kupasha/kujuzana habari mbalimbali,au kutuambia chochote ambacho we unahis kuna baadhi ya wanajamvi hawajui
mfano: 1je wajua..demu wa mkoani ukimwambia aje dar atakuambia nitumie nauli
2:je wajua kwenye watu kumi mmoja lazima atakua anaugua ugonjwa wa ajabu
3: je wajua mbagala ndio sehemu maarufu dar es salaam
 
je wajua?....hakuna mtu anaetambua ni siku gani mimba imeanza kutunga tumboni...wengi tunajua tu. baada ya P kukata.
 
Back
Top Bottom