Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Usiku mwema
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Usiku mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna ubaya gani? Mbona kabla ya kuwa wakristo au waislam hawakuwa na ujinga huu?Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Usiku mwema
Ombolezeni na wanaolia pia Yakobo 1 :27 inasemaje?Unataka kuwanyima msosi?
Wakristo hawana makatazo ya misosi wala ubaguzi kwa dini pinzani nao
Hayo ndiyo maadhara na maangamizi ya upumbavu tuliojazwa na dini. Mbona wanaponunua nyanya hawaulizi kama zililimwa na mwenzao? Upumbavu mtupu.Makobazi bhana kuna siku kuna nyumba walikuwa na 40 ya ndugu yao wakapika. Msosi pale maskani basi si wakawapa msosi majirani zao mwanangu ambao ni Muslim huwezi amini wale wa kachukua Kile chakula hawakula wakasema ety ninajisi akaenda mwanangu akapewa na siku hiyo alikua na njaa toka hapo nachukia sana wathabato, Muslim, na walokole wenye itikadi kali
Hahahaha 😂 😂 watu mnafikiriaHayo ndiyo maadhara na maangamizi ya upumbavu tuliojazwa na dini. Mbona wanaponunua nyanya hawaulizi kama zililimwa na mwenzao? Upumbavu mtupu.
Msosi hauna dini? Vipi nguruweMsosi hauna dini, njaa ni kitu kingine..!!
jichanganye usiende jumuiya na fungu lako la zaka lisionekane ndio utajuaWakristo hatuna roho za ubaguzi
Ufalme wa Mungu si kula wala kunywaMsosi hauna dini? Vipi nguruwe
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni.Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Usiku mwema