Je, Wakristu wanaruhusiwa kushiriki chakula cha Waislamu wanachoandaa baada ya kumaliza siku ya arobaini za msiba?

Je, Wakristu wanaruhusiwa kushiriki chakula cha Waislamu wanachoandaa baada ya kumaliza siku ya arobaini za msiba?

Njoga waje tupate elimu

Lakin mimi nakumbuka nilienda kwenye hiyo hatma siku moja niliona hicho chakula hasa nyama ikichanganywa na vitu na wazee watukufu wa kiislamu ambavyo mimi sikuvielewa hivyo vitu ni nini

Hivyo sikula kabisa hiyo nyama siku hiyo

Mda wa msosi nilikula Kona

Lakin ngoja wajuvi waje tupate elimu gTurn DR Mambo Jambo
 
Makobazi bhana kuna siku kuna nyumba walikuwa na 40 ya ndugu yao wakapika. Msosi pale maskani basi si wakawapa msosi majirani zao mwanangu ambao ni Muslim huwezi amini wale wa kachukua Kile chakula hawakula wakasema ety ninajisi akaenda mwanangu akapewa na siku hiyo alikua na njaa toka hapo nachukia sana wathabato, Muslim, na walokole wenye itikadi kali
 
Arobaini ni siku ya kumaliza msiba
Mtu akifa watu wanaomboleza siku 40 wawe wakristo au waislamu

Inategenea tafsiri yako kwa imani ya 40 inaamanisha nini kwa mafundisho uliyopewa

Wengine msiba wa mpendwa wao humaliza siku tatu ,wengine wakitoka tu makaburini msiba umeishia hapo, wengine wiki wengine mwezi wengine siku 40 ,wengine mwaka mzima ndio wanamaliza msiba
 
Makobazi bhana kuna siku kuna nyumba walikuwa na 40 ya ndugu yao wakapika. Msosi pale maskani basi si wakawapa msosi majirani zao mwanangu ambao ni Muslim huwezi amini wale wa kachukua Kile chakula hawakula wakasema ety ninajisi akaenda mwanangu akapewa na siku hiyo alikua na njaa toka hapo nachukia sana wathabato, Muslim, na walokole wenye itikadi kali
Hayo ndiyo maadhara na maangamizi ya upumbavu tuliojazwa na dini. Mbona wanaponunua nyanya hawaulizi kama zililimwa na mwenzao? Upumbavu mtupu.
 
Wamatumbi kwenye harakati za kubaguana kwa dini za kuletwa na majahazi.
 
Back
Top Bottom