Je wale CCM walio zuia katiba mpya wakati wa Kikwete ni wazalendo nao?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Je wale CCM walio zuia katiba mpya wakati wa kikwete ni wazalendo nao?
 
Ccm na UKAWA waliweka mbele maslahi binafsi ndio maana mwisho wa siku Kikwete akaona bora mkose wote.
Ukawa walikuwa upande wa wananchi waliotoa maoni yao kwenye rasimu mbili za Tume ya Warioba, walipoona maoni ya wananchi yanachakachuliwa na CCM kwa kutumia wingi wa wajumbe wao kwa BMK ndiyo wakaamua kujitenga na najisi hiyo ya wanaccm ambao walijali maslahi ya viongozi wa chama chao. Kuwaweka Ukawa na CCM kwenye kapu moja ni aidha haukuwepo nchini wakati huo na hukuwa Well informed.
 
Nielezee msingi wa kutaka ziwepo serikali tatu kama sio ulafi wa madaraka
 
Anza wewe kueleza hiyo dhana ya ulafi wa madaraka iliyopo ndani ya serikali tatu ndiyo tuajadiliane maana wewe ndiye mleta dhana hiyo.
 
Kung'ang'ania madaraka
Upo sahihi.

Sasa kung'ang'ania madaraka kunajitokeza kwa sura nyingi kama vile kuunda nafasi mpya za uongozi ambazo kutokuwepo kwake hakuna madhara ili mradi tu uwepo wa hiyo nafasi kutasaidia kundi fulani au mtu fulani apate sehemu ya ulaji.
 
Anza wewe kueleza hiyo dhana ya ulafi wa madaraka iliyopo ndani ya serikali tatu ndiyo tuajadiliane maana wewe ndiye mleta dhana hiyo.
Hili hata mimi siwezi lielezea vizur lakini kuwe na serikali moja au Kila mtu achukue 50 zake
 
Back
Top Bottom