Naomba kujua ikiwa kama walimu wametii amri ya chama chao, ya kwamba kimeshindwa kufikia suluhu hivyo wagome au wametii kauli ya serikali inayoema "suala lipo mahakamani" hivyo waendelee na kazi.
Habari za huu mgomo zilianza siku nyingi, napenda kujua uhalisia wake.
Habari nizozipata muda si mrefu ,ni kwamba wanafunzi huko tunduma wameandamana kuishinikiza serikari kukubari kuwasikiliza walimu madai yao,Askali walijaribu kutawanya maandamano na kusababisha vurugu kuzuka kupelekea kuchomwa moto baadhi ya majengo ya halmashauri