Je walimu wamegoma?

Je walimu wamegoma?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Naomba kujua ikiwa kama walimu wametii amri ya chama chao, ya kwamba kimeshindwa kufikia suluhu hivyo wagome au wametii kauli ya serikali inayoema "suala lipo mahakamani" hivyo waendelee na kazi.
Habari za huu mgomo zilianza siku nyingi, napenda kujua uhalisia wake.
 
Huku maeneo ya shule ya msingi kimbangulile mgomo unaendelea vzr
 
Walimu walishaanza mgomo wa chinichini muda mrefu sana. Matokeo mabovu ya mitihani ni dalili mojawapo
 
walimu endeleeeni kugoma mmedharauliwa vya kutosha, kazi gani hata mtoto mdogo haipendi!!!!!!!!!
 
Mgomo unaendalea kama kawaida na hata hapa ninapopost hii kitu watoto hapa Arusha sec. wapo tu wanapiga kelele madarasani .
 
Naionea huruma tz ya watoto wa kabwelah ya baadae........
 
Habari nizozipata muda si mrefu ,ni kwamba wanafunzi huko tunduma wameandamana kuishinikiza serikari kukubari kuwasikiliza walimu madai yao,Askali walijaribu kutawanya maandamano na kusababisha vurugu kuzuka kupelekea kuchomwa moto baadhi ya majengo ya halmashauri
 
Nipo kiomboi iramba,huku mgomo kama kawa! walimu wa k'bomani,shelui,misigiri,chemchem,ibaga,nduguti,lugongo n.k wamegoma
 
Back
Top Bottom