Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.

Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.

Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.
 
IMG-20210318-WA0000.jpg
 
Yule bonge alikuwa mwembamba wakati anaanza na magu .

Ila ndani ya miaka 6 tu kafutuka

Kuna siku alidakwa na kamera anasinzia

Ana sifa zifuatazo:

1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Chatu akishiba lazima atasinzia

Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
 
Mi nitammisi yule jamaa mrefu mweusi ambaye mara nyingi kwenye matukio ya Rais akiwa kwenye watu wengi daima yeye huvaa miwani meusi huku akiwa anaongea na mic ya mkononi.

Afu yule mlinzi mwingine mpemba mwenye sigda, najua anaweza akabaki na Mama Samia kwakuwa wote ni wa njia moja.
 
Anapenda sana Kufinyafinya tumacho twake tule sijui ndiyo sehemu yake ya Ulinzi na Kumbaini Adui kwa haraka au hapana. Na akishiba akiwa zamu mara nyingi akikaa tu lazima asinzie na akishtuka ghafla hukakamaa kana kwamba hakusinzia vile.
Nyie watu [emoji1787][emoji1787][emoji16]

Mnajua yule ni commando?
 
Ana sifa zifuatazo:

1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Cbatu akishiba lazima atasinzia

Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
Namba 4...peleka masihara yako hukoo, Bruce lee hakuwa wa kawaida...[emoji848]
 
Back
Top Bottom