IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Wale walinzi wa kike wa Gaddafi ni makomandoo hasa...Wale mabaunsa wakatafute kazi ya ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi hasa wale wa chama. Samia atalindwa na wanaawake wenzake. Madume ya nini hata akose raha? Ajifunze toka kwa Gadaffi kuwa wadada wanaweza. Kiutendaji na uadilifu ajifunze kwa Angela Merkel.