kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Wale jamaa hatari sana waga wapo magogoni na silaha za moto sana nahisi ni wanajeshi pekee wanaoshika silaha kila sikuYale majamaa ma soldiers yenye combat sijui za nchi gani nitayamiss sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale jamaa hatari sana waga wapo magogoni na silaha za moto sana nahisi ni wanajeshi pekee wanaoshika silaha kila sikuYale majamaa ma soldiers yenye combat sijui za nchi gani nitayamiss sana
Dso moshi hukoYule alishapewa u DC
Marron ballet sio watu wale mzee nawajuaAcha Uwongo duniani kote huwa hakuna Mwanamke Commando na hii ni kutokana na Maumbile yao na Mfumo wao Kibaiolojia. Isipokuwa huwa wanapewa tu Matunzo ya Kiwango fulani cha Ukakamavu. Ukomando ni Habari nyingine. Mtafute Mwanajeshi yoyote au Mbobezi yoyote wa Masuala ya Kimedani ( Kijeshi ) akuambie.
Hajapewa U DC ( Ukuu wa Wilaya kama usemavyo ) bali amekuwa ni DSO ( Afisa Usalama wa Wilaya ) katika Mkoa Mmoja wenye Watu wanaoipenda na kuijua Hela kuliko Watanzania wengine wote. Na ana Asili ya Uzanzibari ambapo hata Kitaaluma ni Msomi mzuri tu mwenye Masters Degree yake.Yule alishapewa u DC
Kwahiyo ulikuwa unataka ndani ya pale Ikulu ( sehemu Nyeti na Muhimu kuliko nyinginezo zote nchini ) 24/7 washike tu Manati na Mawe?Wale jamaa hatari sana waga wapo magogoni na silaha za moto sana nahisi ni wanajeshi pekee wanaoshika silaha kila siku
Popoma mnakunaku na mfukunyuku habari yako???Kwahiyo ulikuwa unataka ndani ya pale Ikulu ( sehemu Nyeti na Muhimu kuliko nyinginezo zote nchini ) 24/7 washike tu Manati na Mawe?
Ha haKwahiyo ulikuwa unataka ndani ya pale Ikulu ( sehemu Nyeti na Muhimu kuliko nyinginezo zote nchini ) 24/7 washike tu Manati na Mawe?
Si mpemba yule mwenye sigda,yule ni ndugu yetu wa Utete Rufiji. Alhaji MbatikeleMi nitammisi yule jamaa mrefu mweusi ambaye mara nyingi kwenye matukio ya Rais akiwa kwenye watu wengi daima yeye huvaa miwani meusi huku akiwa anaongea na mic ya mkononi.
Afu yule mlinzi mwingine mpemba mwenye sigda, najua anaweza akabaki na Mama Samia kwakuwa wote ni wa njia moja.
namba nne chaiAna sifa zifuatazo:
1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Chatu akishiba lazima atasinzia
Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
watu wanadai huyu jamaa ndio kigogo
Acha kuhanya wazungu na kudharau your kindsWote hao mbele ya manati ya mzungu Wana smoke sulphur any minutes, na ku hit the ground, mzungu fundi.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Wanamuonea sana na Wasimchonganishe.watu wanadai huyu jamaa ndio kigogo
Mtu pekee anaeweza kumkalisha marehemu bruce lee ni mimi tuAna sifa zifuatazo:
1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Chatu akishiba lazima atasinzia
Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
Wengi wanabebwa na maneno kwa udhaifu wa maarifa yao katika kuamini mambo.Huyo Jamaa ni Muongo kweli kweli Ndugu na usishangae kuna Mizuzu yenzake imemuamini kabisa.
acheni uzandiki!watu wanadai huyu jamaa ndio kigogo
Watu wengi hawapendi mafanikio ya mwingine, wivu ni mbaya kuliko coronaWanamuonea sana na Wasimchonganishe.
Tofautisha walinzi wa rais na wasindikizaji wa msafara wa rais! Idara ndio inamlinda rais, ndio mana kuna muda hata uwe na kombati ya rangi gani, husogei jirani na rais.Kaaeni kimya ,jeshi ni pana na ina majukumu kibao,na jeshi inaongozwa kwa sheria na utii.wanaomlinda rais anachaguliwa na wanaandaliwa kweli kweli, wako ndani ya jeshi na ni makamanda wenye ujuzi na mafunzo ya hali ya juu sana,narudia mafunzo ya hali ya juu sana na wako Smart kichwani na ni watu wa kusoma hatari na kujua na kuchukua tahadhari haraka sana.