MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Hapa ndipo wengi tunapafurahia, "wengine waje huku mtaani tujumuike kwenye kujiajiri"Yule mpambe arudi kambini.
Samia ana mpambe wake wa Kike.
Wengine waje huku mtaani waje tujumuike kwenye kujiajiri!
Kuna Mmoja najua anavyopenda kula na kufakamia hovyo Mivyakula hadi Kunenepeana kama SIMTANK nitakutana nae tu Viwanja vyake Victoria, Mikocheni A na baa jirani na Beach Kidimbwi Mbezi Beach.PSU wana majukumu mengi, na usifikirie kukutana nao vijiweni!
Kwani wanapoteza kazi moja kwa moja?Hapa ndipo wengi tunapafurahia, "wengine waje huku mtaani tujumuike kwenye kujiajiri"
Tunatamani wengine waumie ili tufurahi, dude fanya kazi.
Wanapoteza Kula yale Mapochopocho.kwani wanapoteza kazi moja kwa moja??
Yule bonge alikuwa mwembamba wakati anaanza na magu .
Ila ndani ya miaka 6 tu kafutuka
Kuna siku alidakwa na kamera anasinzia
Nyie watu [emoji1787][emoji1787][emoji16]Anapenda sana Kufinyafinya tumacho twake tule sijui ndiyo sehemu yake ya Ulinzi na Kumbaini Adui kwa haraka au hapana. Na akishiba akiwa zamu mara nyingi akikaa tu lazima asinzie na akishtuka ghafla hukakamaa kana kwamba hakusinzia vile.
Namba 4...peleka masihara yako hukoo, Bruce lee hakuwa wa kawaida...[emoji848]Ana sifa zifuatazo:
1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Cbatu akishiba lazima atasinzia
Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
Ndo mana kufikia maendeleo itakua kazi sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watanzania tunapenda wote tuwe tunateseka kwa style moja inayofanana