Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Maisha hayana fomula, wewe jitape, jigambe sana ukiweza jiite hata Mungu kwakuwa unacho kitu kinachokujaza kiburi lakini kumbuka ili siku mpya ianze lazima siku iliokuwepo ipige sarakasi kuelekea chini kuipisha siku mpya kwa lazima.
 
Wewe mleta mada frank alikuchapia demu wako nini, mbona umekuwa ukimfuata fuata sana
 
Acha Uwongo hakuna Mtu wa PSU ambaye hakutokea JWTZ. au hujui kuwa PSU na TISS yao wapo chini ya JWTZ Kiutendaji na Kiitifaki?
Wanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…