Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
kwanza wote wana korona wawekwe karantini alafu watapangiwa majukumu mengine mikoani huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seleman kwao Lindi sio MpembaYule mwenye sigda anakunja sura mwanzo mwisho[emoji1]
Usiwadanganye watu,PSU na JWTZ wapi na wapi? Waambie kuwa trainers wao wengine wanatoka JWTZAcha Uwongo hakuna Mtu wa PSU ambaye hakutokea JWTZ. au hujui kuwa PSU na TISS yao wapo chini ya JWTZ Kiutendaji na Kiitifaki?
walikuwa nae tangu akiwa viceHizi ni sura ni mpya si wale wanene wa JpmView attachment 1729275
Kwan hamna tiss ambao ni policeAcha uongo wewe fala. NI TISS wa muda mrefu sana huyo.
Mjitahidi msiwe mnawataja hadi na Majina yao tafadhali hata kama mnawajua. Mtawaharibia huko ( humu ) Mitaani.Upo sahihi anaitwa AGUSTINO MASESE
Oya Wana hebu acheni basi Kutaja hadi Majina yao. Mnaharibu!!Seleman kwao Lindi sio Mpemba
Angalia walivyokondeana hii Leo sasa subirini ndani ya Miezi Sita ijayo watakuwa SIMTANK ( Mapipa ) tupu kwa Kunenepeana hovyo na Kiholela wakati kwa Kada yao ni very risk Ndugu.Hizi ni sura ni mpya si wale wanene wa JpmView attachment 1729275
Sewahaji na Kibasila zote ni Muhimbili.Usiwadanganye watu,PSU na JWTZ wapi na wapi? Waambie kuwa trainers wao wengine wanatoka JWTZ
Mbona sijawahi Kuwaona kama alikuwa nao Kitambo tu Ndugu?walikuwa nae tangu akiwa vice
Tena huko ndiko wamejazana sana kama wale wa Task Force yao na wale waliopo katika Ofisi yao Mkabala na Stesheni.Kwan hamna tiss ambao ni police
Wewe unapenda ligi na sifa siwezi bishana na wewe.Acha Uwongo hakuna Mtu wa PSU ambaye hakutokea JWTZ. au hujui kuwa PSU na TISS yao wapo chini ya JWTZ Kiutendaji na Kiitifaki?
YAH HATA KUMUOMBA AKAE CHINI TU HUWEZIMtu pekee anaeweza kumkalisha marehemu bruce lee ni mimi tu
Hey just keep your Pig Mouth shut okay?Wewe unapenda ligi na sifa siwezi bishana na wewe.
Wanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.Acha Uwongo hakuna Mtu wa PSU ambaye hakutokea JWTZ. au hujui kuwa PSU na TISS yao wapo chini ya JWTZ Kiutendaji na Kiitifaki?
Itakuwa alianza Kwanza na aliyekuzaa.Wewe mleta mada frank alikuchapia demu wako nini, mbona umekuwa ukimfuata fuata sana