Nyie ndo mnajua sana banaHabari yake hii hapaView attachment 1729703
Waswahili wengi roho za kimasikini tu.Hapa ndipo wengi tunapafurahia, "wengine waje huku mtaani tujumuike kwenye kujiajiri"
Tunatamani wengine waumie ili tufurahi, dude fanya kazi...
Kamanda (commander) ni mtu (askari ) mwenye Cheo yani mwenye uwezo wa kukomandi komandoo (Commando) sio cheo bali Askari mwenye mafunzo ya ziada katika medani...najua msiba ni mzito ndo maana sikushangaa ulipokua unacheka cheka kwa mambo ambayo hujayatafiti vizuriEti Commando na Commander?
Haki life is crazy!!
Kuna mtu miongoni mwa hao kanijibu kuwa jamaa yupo haiKwa mimi binafsi kuna ukakasi. Kuna mtu nilimuuliza kasema pale hajafa mtu yeyote kwa wiki mbili hizi. Wote ni wazima na wanaendelea kuchapa kazi.
Wengi hawamjui frank ni yupi na Wilfred ni yupiTatizo we unachanganya..Frank Kaloli ni mwingine na Wilfred ni mwingine.Muulize informer wako akupe taarifa vizuri yupi amefariki.
Kigogo sometimes na yeye anadanganywa na informers wakeNimeon kigogo kakausha anasema mwanangu kaloli yupo fit
We need enough time to dwell in more on this, because why is it that all of his Closiet Executives in the Office have also passed away in a Shocking way?Magufuli was assassinated. He was targeted.
Some people targeted him.We need enough time to dwell in more on this, because why is it that all of his Closiet Executives in the Office have also passed away in a Shocking way?
You're not that far from the Hidden truth.
When,where and how??Magufuli was assassinated. He was targeted.
Sijui, but Someday we will come to discuss this Matter.When and how??
Mmi nko Nkanaledi ni sehen gniJuzi nilikuwa kwao mtwara kwenye ule msiba wa Mama yake Edo Kumwembe na nilipata bahati ya kwenda kumjulia hali yule mama yake pale mtaa wa LIGULA karibu na msikiti wa KIYANGU. hakukuwa na dalili zozote za msiba na mama alikuwa mwenye furaha kuniona maana nilipata kusoma nae yule jamaa.
Time will tellSijui, but Someday we will come to discuss this Matter.
SawaKiitifaki ni Rais pekee ndiyo huwa anakuwa na Mpambe ( ADC ) huyo wa Kijeshi na Makamu wa Rais yeye hupewa Mlinzi Mwandamizi tu kutoka PSU.
Ila Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiapishwa tu na kuwa Rais rasmi Kikatiba basi Kiutaratibu wa Kiitifaki nae atapewa Mpambe ( ADC ) wa Kijeshi ambaye bado atakuwa ni wa Kiume japo kuna uwezekano pia akawa ni wa Kike ( Mwanamke )
Ila hawa Walinzi wa Kike kutoka PSU watakuwa karibu nae ambapo anaweza kubakia huyu huyu Mmoja aliyenae sasa au nae akabadilishwa na akawekwa hapo Mwingine kutokana na Hadhi ya sasa ya Mama Samia.
It just perfectly timed.Time will tell
Hayo umesema weweKuna Tatizo wakiwepo wengi kiasi hicho?
Nimekupata sana mkuuIt just perfectly timed.
Kijazi was Gone then Katibu wa Rais, and then Bashiru akachaguliwa kuwa katibu mkuu kiongozi which means CCM ilikuwa inaenda Kuwa na katibu mkuu mpya, CCM is one of strongest Institution na ndio wanafasi ya kuwasaidia wananchi au kuwanyonya wananchi.
Ili hao watu kupata ushawishi ndani ya CCM lazima wapate uungwaji mkono na Mwenyekiti na isingekuwa rahisi kwa mwenyekiti jasiri kama huyu.
So technically CCM ina ombwe la Mwenyekiti(Mama Samia ana nafasi kubwa sana) na Katibu Mkuu (huyu anaweza kutotoka kundi lolote).
Sina shaka na kamati kuu ya halimashauri kuu ya CCM hii kwa kiwango kikubwa ndio iliyomsaidia Magufuli kuwa madarakani na ndio iliyomlinda Magufuli Kisiasa.
Ili ibaki kwenye nguvu yake (naomba hivyo pia) inapaswa iombe msaada wa Jeshi au kanali Lubinga atumie utashi wake wa Kijeshi, Pia Ndugai kama Spika.
Na mwisho hii inaweza kuwa vita ya Mabwanyenye na Wazalendo
Dogo una kaujuaji fulani ka kiduanzi, basi na wewe unaona kuna unachowafundisha Jf nzima hapa sioKiitifaki wanatakiwa wafanye hivyo Kwake kwakuwa ndiyo walikuwa assigned Kwake kama Walinzi. Hata katika Msiba wa Hayati Nyerere Walinzi wake akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Marehemu Mzee Simon Mohammed na Wengineo Wanne walifanya hivyo Kwake.
Baada tu ya Maziko ( Mazishi ) na Wao watapangiwa Majukumu mengine ya Kiidara hapo Makao au Mikoani au hata Nje kuwa attached katika Missions ( Balozi ) kwa Kazi Maaalum chini ya Mabalozi watakaowakuta huko.
Mbona kama una stress?Kuna tatizo lolote juu ya hilo? Halafu mbona unataka Kutulazimisha sana tukujue Wewe ni TiSS Agent wakati wapo hapa ( humu ) hadi Wakuu wako na Trainers wako kule Baharini na ID's zao nazijua lakini hawashoboki hovyo na hawana huu Ulimbukeni wa Kiushoga kama ulionao na Kutuonyesha hapa? Haya sawa tumeshakujua kuwa Wewe ni Usalama wa Taifa ( TISS Agent ) je, unasemaje? Umefurahi Mimi kukupa hii Free Promo JF na sasa wanakujua na Watakuogopa?
Mods siku hizi wamesahau majukumu yaoSiku Nne ( 4 ) tu zilizopita Mtu Mmoja wa Kitengo alinidokeza kuwa huyu Alifariki ( Amefariki ) Corona tena akiwa Nairobi nchini Kenya nikawa bado mgumu Kuamini ila muda si mrefu nimehakiki mahala na Kuamini kuwa huyu Frank ( Pichani ) hatunaye tena duniani na kwamba alishazikwa Siku nyingi Kwao Mkoani Rukwa ( kama sijakosea )
R.I.P Frank ila Kifo chako kilichotokana na Corona kimenifanya sasa niamini kuwa hata Kifo cha Bosi wako uliyekuwa Ukimlinda na aliyekuwa akikuamini mno na Kukupenda sana kimetokana na Corona na hiyo Moyo ni Kutuzuga tu. Jamani tafadhali naomba tuvae Barakoa na tujilinde zaidi kwani Corona ipo. Na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Wewe vaa Barakoa tafadhali kwani hatutaki mfululizo wa Misiba kwa sasa Tanzania.
NakubaliMagufuli was assassinated. He was targeted.