Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Attachments

  • Ew5_XcvWYAEBfX6.jpeg
    Ew5_XcvWYAEBfX6.jpeg
    52.1 KB · Views: 5
Eti Commando na Commander?

Haki life is crazy!!
Kamanda (commander) ni mtu (askari ) mwenye Cheo yani mwenye uwezo wa kukomandi komandoo (Commando) sio cheo bali Askari mwenye mafunzo ya ziada katika medani...najua msiba ni mzito ndo maana sikushangaa ulipokua unacheka cheka kwa mambo ambayo hujayatafiti vizuri
 
Kwa mimi binafsi kuna ukakasi. Kuna mtu nilimuuliza kasema pale hajafa mtu yeyote kwa wiki mbili hizi. Wote ni wazima na wanaendelea kuchapa kazi.
Kuna mtu miongoni mwa hao kanijibu kuwa jamaa yupo hai
 
Juzi nilikuwa kwao mtwara kwenye ule msiba wa Mama yake Edo Kumwembe na nilipata bahati ya kwenda kumjulia hali yule mama yake pale mtaa wa LIGULA karibu na msikiti wa KIYANGU. hakukuwa na dalili zozote za msiba na mama alikuwa mwenye furaha kuniona maana nilipata kusoma nae yule jamaa.
Mmi nko Nkanaledi ni sehen gni
 
Kiitifaki ni Rais pekee ndiyo huwa anakuwa na Mpambe ( ADC ) huyo wa Kijeshi na Makamu wa Rais yeye hupewa Mlinzi Mwandamizi tu kutoka PSU.

Ila Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiapishwa tu na kuwa Rais rasmi Kikatiba basi Kiutaratibu wa Kiitifaki nae atapewa Mpambe ( ADC ) wa Kijeshi ambaye bado atakuwa ni wa Kiume japo kuna uwezekano pia akawa ni wa Kike ( Mwanamke )

Ila hawa Walinzi wa Kike kutoka PSU watakuwa karibu nae ambapo anaweza kubakia huyu huyu Mmoja aliyenae sasa au nae akabadilishwa na akawekwa hapo Mwingine kutokana na Hadhi ya sasa ya Mama Samia.
Sawa
 
Time will tell
It just perfectly timed.

Kijazi was Gone then Katibu wa Rais, and then Bashiru akachaguliwa kuwa katibu mkuu kiongozi which means CCM ilikuwa inaenda Kuwa na katibu mkuu mpya, CCM is one of strongest Institution na ndio wanafasi ya kuwasaidia wananchi au kuwanyonya wananchi.

Ili hao watu kupata ushawishi ndani ya CCM lazima wapate uungwaji mkono na Mwenyekiti na isingekuwa rahisi kwa mwenyekiti jasiri kama huyu.

So technically CCM ina ombwe la Mwenyekiti(Mama Samia ana nafasi kubwa sana) na Katibu Mkuu (huyu anaweza kutotoka kundi lolote).

Sina shaka na kamati kuu ya halimashauri kuu ya CCM hii kwa kiwango kikubwa ndio iliyomsaidia Magufuli kuwa madarakani na ndio iliyomlinda Magufuli Kisiasa.

Ili ibaki kwenye nguvu yake (naomba hivyo pia) inapaswa iombe msaada wa Jeshi au kanali Lubinga atumie utashi wake wa Kijeshi, Pia Ndugai kama Spika.

Na mwisho hii inaweza kuwa vita ya Mabwanyenye na Wazalendo
 
Nimekupata sana mkuu
 
Kiitifaki wanatakiwa wafanye hivyo Kwake kwakuwa ndiyo walikuwa assigned Kwake kama Walinzi. Hata katika Msiba wa Hayati Nyerere Walinzi wake akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Marehemu Mzee Simon Mohammed na Wengineo Wanne walifanya hivyo Kwake.

Baada tu ya Maziko ( Mazishi ) na Wao watapangiwa Majukumu mengine ya Kiidara hapo Makao au Mikoani au hata Nje kuwa attached katika Missions ( Balozi ) kwa Kazi Maaalum chini ya Mabalozi watakaowakuta huko.
Dogo una kaujuaji fulani ka kiduanzi, basi na wewe unaona kuna unachowafundisha Jf nzima hapa sio
 
Kuna tatizo lolote juu ya hilo? Halafu mbona unataka Kutulazimisha sana tukujue Wewe ni TiSS Agent wakati wapo hapa ( humu ) hadi Wakuu wako na Trainers wako kule Baharini na ID's zao nazijua lakini hawashoboki hovyo na hawana huu Ulimbukeni wa Kiushoga kama ulionao na Kutuonyesha hapa? Haya sawa tumeshakujua kuwa Wewe ni Usalama wa Taifa ( TISS Agent ) je, unasemaje? Umefurahi Mimi kukupa hii Free Promo JF na sasa wanakujua na Watakuogopa?
Mbona kama una stress?
 
Siku Nne ( 4 ) tu zilizopita Mtu Mmoja wa Kitengo alinidokeza kuwa huyu Alifariki ( Amefariki ) Corona tena akiwa Nairobi nchini Kenya nikawa bado mgumu Kuamini ila muda si mrefu nimehakiki mahala na Kuamini kuwa huyu Frank ( Pichani ) hatunaye tena duniani na kwamba alishazikwa Siku nyingi Kwao Mkoani Rukwa ( kama sijakosea )

R.I.P Frank ila Kifo chako kilichotokana na Corona kimenifanya sasa niamini kuwa hata Kifo cha Bosi wako uliyekuwa Ukimlinda na aliyekuwa akikuamini mno na Kukupenda sana kimetokana na Corona na hiyo Moyo ni Kutuzuga tu. Jamani tafadhali naomba tuvae Barakoa na tujilinde zaidi kwani Corona ipo. Na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Wewe vaa Barakoa tafadhali kwani hatutaki mfululizo wa Misiba kwa sasa Tanzania.
Mods siku hizi wamesahau majukumu yao
 
Back
Top Bottom