Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Ukiaangalia kwenye mitandao washaanza kusema sijui Bashiru ni nini, ili mradi wamseme mama samia, na wameshaanza kuwapa hela wa TLS kuwa Rais avunje baraza aanze upyaNimekupata sana mkuu
Noted with thanksUkiaangalia kwenye mitandao washaanza kusema sijui Bashiru ni nini, ili mradi wamseme mama samia, na wameshaanza kuwapa hela wa TLS kuwa Rais avunje baraza aanze upya
INGEPENDEZA SANA!Nilitengemea yule mamanimuone kwenye timu ya samia
Duh huyo bingwa kulia, alikuwa ndio katoka depo nini ?
Jamaa hua hachekiDuh huyo bingwa kulia, alikuwa ndio katoka depo nini ?
Watu wengine ni miili tu. Haimaanishi kuwa anakula sana. Kujadili watu kwa namna hii siyo vizuri.Yule bonge alikuwa mwembamba wakati anaanza na Magu.
Ila ndani ya miaka 6 tu kafutuka
Kuna siku alidakwa na kamera anasinzia
kucheka lazima acheke ww ! nakumbuka kitabu cha rwanda magereJamaa hua hacheki
Sio mpemba yule ni LindiSi mpemba ni mtu wa rufiji kama sijakosea
I also heard the same from a Trusted Pal.Some people targeted him.
Time will tell us
Thanks for this Critical Observation Chief.It just perfectly timed.
Kijazi was Gone then Katibu wa Rais, and then Bashiru akachaguliwa kuwa katibu mkuu kiongozi which means CCM ilikuwa inaenda Kuwa na katibu mkuu mpya, CCM is one of strongest Institution na ndio wanafasi ya kuwasaidia wananchi au kuwanyonya wananchi.
Ili hao watu kupata ushawishi ndani ya CCM lazima wapate uungwaji mkono na Mwenyekiti na isingekuwa rahisi kwa mwenyekiti jasiri kama huyu.
So technically CCM ina ombwe la Mwenyekiti(Mama Samia ana nafasi kubwa sana) na Katibu Mkuu (huyu anaweza kutotoka kundi lolote).
Sina shaka na kamati kuu ya halimashauri kuu ya CCM hii kwa kiwango kikubwa ndio iliyomsaidia Magufuli kuwa madarakani na ndio iliyomlinda Magufuli Kisiasa.
Ili ibaki kwenye nguvu yake (naomba hivyo pia) inapaswa iombe msaada wa Jeshi au kanali Lubinga atumie utashi wake wa Kijeshi, Pia Ndugai kama Spika.
Na mwisho hii inaweza kuwa vita ya Mabwanyenye na Wazalendo
Poor You.Dogo una kaujuaji fulani ka kiduanzi, basi na wewe unaona kuna unachowafundisha Jf nzima hapa sio
Hawaendeshwi Kimihemko na Chuki za Kipumbavu ulizonazo ( mlizonazo ) Kwangu na bahati nzuri Kiungwana na Kiustaarabu tu nimewaomba Radhi ( Msamaha ) Wahusika Afande Wilfred Mwango na Afande Frank Kolilo na walioguswa au kupatwa na Usumbufu ( JF Members mkiwemo ) wa Taarifa yangu kupitia post yangu #352 hivyo sijajua Unawashwawashwa na nini na Mimi All - Rounder ( alias ) Brainiac.Mods siku hizi wamesahau majukumu yao
Umri Ndugu na ni wa Kitambo kidogo na isitoshe ipo damu changa ya Wanawake wengine waliopikwa vyema na Idara kupitia PSU. Huyo Mama LM Siku nyingi tu amekuwa attached katika Chuo chao Kimoja kilichopo Mkoa wenye Sifa ya Kuzalisha Asali, Tumbaku na Mahindi pia.INGEPENDEZA SANA!
Kwa Mkewe huwa Analia mwanzoni na Kucheka mwishoni.Jamaa hua hacheki
Umri Ndugu na ni wa Kitambo kidogo na isitoshe ipo damu changa ya Wanawake wengine waliopikwa vyema na Idara kupitia PSU. Huyo Mama LM Siku nyingi tu amekuwa attached katika Chuo chao Kimoja kilichopo Mkoa wenye Sifa ya Kuzalisha Asali, Tumbaku na Mahindi pia.
Tupo pamoja Ndugu.Ahsante All- Rounder kwa taarifa iliyosheheni uhakika!!
Leo CCM imethibisha mwenyekiti wao mpya ni Samia, Ila katibu mkuu hakuwepo na hawajasema hatma ya Bashiru.Thanks for this Critical Observation Chief.
Tunajenga nyumba moja hatuwezi kugombania fito!!!Tupo pamoja Ndugu.
Yes, wapo wanawake makanali. Mwambata atakuwa jinsia KE, Mara nyingi huwa makapteni, Hawa machachari Sana katika mapambano, then Rais anayo mamlaka ya kumpandisha cheo. Huyu wa JPM, Kama hajafikia umri wa kustaafu, anarudi kambini, kwa sasa ni kanali, JPM alimpandisha cheo twiceMkuu Vipi kuhusu yule mwambata wa raisi, atabadilishwa?
Maana yule raisi hajichagulii hupangiwa (anakuwa ana cheo flani kikubwa sina hakika kama ni kanali au lut kanali) , vipi kuna wanawake wenye cheo hicho katika jeshi letu?
Aisee!Kwa Mkewe huwa Analia mwanzoni na Kucheka mwishoni.