Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Hujui Kitu Walinzi wa Raisi ni wa Raisi na Sio Makamu so transition power inahama na Walinzi wanabaki kwenye possition zao so Wa Aliyekufa wanamfuata Mother na Wale wa Mother watamfuata atakayeteuliwa Nchimbi 😉
Hamna kitu kama icho akishaondoka raisi team nzima pia inaondoka...nasio lazima wamakamu wasiende nae unamuona yule dada mnene anaemlinda samia alikuepo nae tangu akiwa makamu wa raisi inshort karibia walinzi wote waliokuwa wa makamu wameendelea kumlinda mpka muda huu
 
Bora kupumzika tu
Yule mrefu ndio alikuwa presidential unit commander(puc)...hawez kubaki na mama samia tena mara nyingi team moja umrinda raisi atakapotoka uingia timu nyingine....Hawa baada ya apa wanakuwa promoted most ov them wanaenda kuwa station security officers wa balozi nje ya nchi, wanaenda kuwa mabosi kwa maana ya appreciation, promotion na kupumzika
Ila ndugu nyumbani ni nyumbani tu, huko ubalozini naona kama watakuwa wamepoteza kiasi chake.
 
CDF hahusiki na kitengo cha kumlinda raisi Wala jeshi...ulinzi wa raisi upo chini ya mkurugenzi wa usalama wa taifa chini ya kitengo cha psu( presidential security unit).....
Katika hali shwari ya nchi TISS uhusika na ulinzi wa rais, katika hali isiyo eleweka mala nyingi jeshi huchukua hayo majukumu, hakuna kilichopo TISS jeshi kisiwepo na jeshini vipo zaidi na zaidi
 
Hulka hasa ya mwafrika ni kufurahia mwenzako aanguke. Watanzania wanyonge walimshangilia Magufuli sababu aliangusha watu sio kingine . Kiu fupi roho mbya.
 
Alikuwa PA pia; ndiyo maana akawa msemaji wa familia.
Haha msemaji wa familia ni mh samike ambaye alikuwa pia ndio PA, samike hajawai kuwa PSU before hapo alikuwa akikaimu kama PA....tunaemsema ni yule mrefu anavaa miwani miesu anakuwa always anaongea na mic ya mkononi na kuwapanga walinzi wa raisi.....
 
Katika hali shwari ya nchi TISS uhusika na ulinzi wa rais, katika hali isiyo eleweka mala nyingi jeshi huchukua hayo majukumu, hakuna kilichopo TISS jeshi kisiwepo na jeshini vipo zaidi na zaidi
Upo sahihi ila kisheria na kwa mujibu TISS wanamajukumu yakulinda viongozi wakuu wa nchi( Tanzania security service Act 1996).
 
Haha msemaji wa familia ni mh samike ambaye alikuwa pia ndio PA, samike hajawai kuwa PSU before hapo alikuwa akikaimu kama PA....tunaemsema ni yule mrefu anavaa miwani miesu anakuwa always anaongea na mic ya mkononi na kuwapanga walinzi wa raisi.....
✅✅✅
 
Jamaa mweusi yupi unamwongelea?
Fatilia kwene misafara likitoka gari ya raisi gari linalofata(escort 1) anakaa siti ya mbele yy huwa haruki harakaharaka kwene gari hushuka mpaka la raisi lisimame nae hushuka, anakuwa anatembea nyuma baada ya mpambe na mlinzi, mara nyingi anakuwa anaongea na mic ya mkononi
 
Haha msemaji wa familia ni mh samike ambaye alikuwa pia ndio PA, samike hajawai kuwa PSU before hapo alikuwa akikaimu kama PA....tunaemsema ni yule mrefu anavaa miwani miesu anakuwa always anaongea na mic ya mkononi na kuwapanga walinzi wa raisi.....
Kwenye picha niliyoi-quote nilikuwa namzungumzia huyu! Angalia picha niliyoi-quote. Labda kama nimechanganya sura.

1616430285458.jpeg
 
Huyu ndiye niliyekuwa namjibu yule bwana aliyesema walinzi wa Rais. Nami nikamwambia hapo hakuna mlinzi.
Umechenganya picha kwene ile picha uliyomjibu jamaa...ni mpambe wa raisi na presidential unit commander(puc) na sio PA umechanganga pic mkuu
 
Back
Top Bottom