Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chilla mwaka wa 98 WC alikuwa na medali inakaa nyuma ya goli basi huenda huko kisha anaichukua na kuibusu ulikuwa bonge la mkwaraPia kuna Jose Luis Chilavert
Mara ya mwisho kumuona akicheza ilkuwa 2002 world cup ilochezwa japan km sio 1998 pale ufaransa
Hahaha... Nakumbuka vema.Chilla mwaka wa 98 WC alikuwa na medali inakaa nyuma ya goli basi huenda huko kisha anaichukua na kuibusu ulikuwa bonge la mkwara
Alikuwa ni midfilder anaitwa Carlos ValderamaWalikuwa na beki wao Maarufu sana kwa kufuga nywele nyingi ....sijui jina lake ni nani!