Je, wamfahamu golikipa huyu?

Je, wamfahamu golikipa huyu?

Mara ya mwisho kumuona akicheza ilkuwa 2002 world cup ilochezwa japan km sio 1998 pale ufaransa

Juzi alicheza kwenye mechi ya hisani kati ya malejend wa dunia na atletico madrid. Alipewa penat na ronadinho akafunga.
 
Rene Higuita alimponza Pablo Escobar wakati Pablo amefungwa kwenye gereza 'the cathedral' alipoenda kumtembelea na wakati anarudi akasimama njiani kuongea na waandishi wa habari.
Kosa hili ilifanya ionekane kwa mataifa makubwa hasa Marekani kwamba kumbe bado Pablo anaishi maisha ya kawaida na biashara zake zinaenda.
 
Ikumbukwe kizazi hiki cha kina Rene Higuita, Faustino Asplira, Carlos Valderama, Anders Escobar na wengine kiliinuka kwenye soka baada ya Drug Kingpins kutakatisha pesa zao kwa njia ya udhamini wa soka nchini Colombia. Hii ikafanya wanasoka kulipwa vizuri na kujituma zaidi.
 
Walikuwa na beki wao Maarufu sana kwa kufuga nywele nyingi ....sijui jina lake ni nani!
 
Carlos Valderama
upload_2017-6-2_10-25-50.jpeg
 
Back
Top Bottom