Je, wamjua aliyemchangia Samia Sh. Bilioni 10 aingie IKULU? Mama unaingia IKULU (mahala patakatifu) kwa fedha chafu(?)

Je, wamjua aliyemchangia Samia Sh. Bilioni 10 aingie IKULU? Mama unaingia IKULU (mahala patakatifu) kwa fedha chafu(?)

Hivi alyetoa billion kumi akifana kosa Muliro anaweza kwenda kumdindishia? Au akikwepa kodi, kamishna gani anaweza kwenda kumdai?
Nyerere na Magufuli waliona mbali. Ndio maana Magufuli aliweza kuwadindishia wenye pesa.
Muulize nape alivyozodolewa baadaye na Ladwa kuhusu hela ya kampeni wakati akichuana na Nchimbi uenyekiti wa UVCCM enzi hizo!
 
Back
Top Bottom