Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake.
Ila tumezidiana kwa kiwango fulani..
Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa.
Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki.
Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki.
Kuna mtu anaweza kushabikia timu flani kumbe kwa sababu anamkubali kocha/mchezaji fulani
Kuna mwingine hapendi rushwa lakini ni dalali maarufu.
Je, kwa hapa duniani ni binadam gani ambaye anakubalika sana (sio lazima %100 ila possesion izidi kwake) kwa kufanya vitu/mambo ambavyo wengi tumevikubali,tunavikubali na vitakubalika daily.
Na ni binadamu gani amefanya vitu/mambo mabaya kuliko wote tangu kuumbwa kwa dunia.
NB:
NASISITIZA BINADAMU ALIYEFANYA MEMA ZAIDI VS ALIYEFANYA MABAYA ZAIDI
Dini/imani zisihusike .....
kwa sababu forbes na guiness book of record wamekaa kimya...basi sisi tuwataje hapa..