Je, wamjua Binadamu anayeongoza kufanya mema na binadamu anayeongoza kufanya mabaya duniani?

Je, wamjua Binadamu anayeongoza kufanya mema na binadamu anayeongoza kufanya mabaya duniani?

Kama namkumbuka kiongozi mmoja aliyeagiza mbunge wa Singida apigwe risasi 38 na azikwe harakaharaka kama mbwa ili yeye aendelee kusign mikataba gizani

Harafu kuna yule mwenye sura mbaya aliyesema watakaoandamana watapokea kipigo cha mbwa koko
 
Na ni binadamu gani amefanya vitu/mambo mabaya kuliko wote tangu kuumbwa kwa dunia.

Back
Top Bottom