Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Je wana feel hiyo speed? Ukiwa kwenye gari, likisimama unajua, likiongeza mwendo unajua, na mwendo ukiwa mkali sana unajua. Je vipi ukiwa kwenye hiyo satellite?Wao Kila Baada ya Dakika Tisini Usiku unaingia na Baada ya Dakika Tisini kunapambazuka Kwa Sababu ISS inazunguja Dunia Kwa Kasi Sana Takriban 27000km/h. Saa wanazo space watches. Ambazo. Zinajuwa Corresponding na Huku duniani
Kwani dunia sio tambarare?Wanaoamini dunia ni tambarare hawawez kukuelewa kabisa mkuu Bujibuji Simba Nyanaume
The ISS orbits Earth every 90 minutes. So, instead of receiving 12 hours of light followed by 12 hours of dark, astronauts experience 45 minutes of light followed by 45 minutes of dark. That's 16 sunrises and sunsets each day!Wao Kila Baada ya Dakika Tisini Usiku unaingia na Baada ya Dakika Tisini kunapambazuka Kwa Sababu ISS inazunguja Dunia Kwa Kasi Sana Takriban 27000km/h. Saa wanazo space watches. Ambazo. Zinajuwa Corresponding na Huku duniani
Dunia ni sphere, licha ya kwamba kuna watu wanaamini dunia iko kama mezaKwani dunia sio tambarare?
David Ben Gurion naomba jibuJe wana feel hiyo speed? Ukiwa kwenye gari, likisimama unajua, likiongeza mwendo unajua, na mwendo ukiwa mkali sana unajua. Je vipi ukiwa kwenye hiyo satellite?
😂🤣😂Ngoja tuwaulize wenzao kule Maria space..
Asante Kwa Masahihisho MkuuThe ISS orbits Earth every 90 minutes. So, instead of receiving 12 hours of light followed by 12 hours of dark, astronauts experience 45 minutes of light followed by 45 minutes of dark. That's 16 sunrises and sunsets each day!
Wanadhani dunia ni pyramid?Wanaoamini dunia ni tambarare hawawez kukuelewa kabisa mkuu Bujibuji Simba Nyanaume
Hapana Madame Mrembo.David Ben Gurion naomba jibu
Karibu MkuuAsante Kwa Masahihisho Mkuu
FlatWanadhani dunia ni pyramid?
Wanasimamia theory gani?Flat
Wanashangaza sana
The earth isnt FlatKwani dunia sio tambarare?