Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Thanks, lakini mbona tukiwa kwenye ndege tuhisi kabisa mwendo?Hapana Madame Mrembo... Wakati Wa kutoka Ardhini ndo wanaisikia mgandamizo Kwenye Viti lakini kadiri wanavyosogea wanazoea na chombo kikifika constant Speed basi hawahisi Chochote Tena. Kikawaida Mtu huhisi speed Ukiwa Ndani ya chombo pale kitakapo ongeza au Kupunguza Speed