Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Thanks, lakini mbona tukiwa kwenye ndege tuhisi kabisa mwendo?Hapana Madame Mrembo... Wakati Wa kutoka Ardhini ndo wanaisikia mgandamizo Kwenye Viti lakini kadiri wanavyosogea wanazoea na chombo kikifika constant Speed basi hawahisi Chochote Tena. Kikawaida Mtu huhisi speed Ukiwa Ndani ya chombo pale kitakapo ongeza au Kupunguza Speed
Hawasikii kitu. Maana ukiwa kwenye kasi ambayo ni mfululizo huisikii, kama ni dogo au kubwa. Tunasikia mchapuko tu (hasi au chanja) yaani badiliko la kasi.Je wana feel hiyo speed? Ukiwa kwenye gari, likisimama unajua, likiongeza mwendo unajua, na mwendo ukiwa mkali sana unajua. Je vipi ukiwa kwenye hiyo satellite?
Inategemea na ndege na hali ya hewa. Kwa kawaida (pasipo upepo mkali unaotikisisha ndege), kwenye ndege kubwa unaelea kwenye kimo cha mita 11,000 kwa kasi ya km/h 900 bila kusikia chochote.Thanks, lakini mbona tukiwa kwenye ndege tuhisi kabisa mwendo?
Audi Q7Hawasikii kitu. Maana ukiwa kwenye kasi ambayo ni mfululizo huisikii, kama ni dogo au kubwa. Tunasikia mchapuko tu (hasi au chanja) yaani badiliko la kasi.
Ukiwa kwenye gari zuri tena kwenye barabara nzuri (ambako huhitaji kupiga breki shauri ya mashimo au bump) unaweza kwenda 120 na husikii kitu, sawa na kasi 30.
Kama ingekuwa tambarare tusingekuwa na nyanda za juu Kusini(Mbeya, Iringa, Rukwa), mteremko wa Kitonga na Mlima KilimanjaroKwani dunia sio tambarare?
Hapana Madame Mrembo... Wakati Wa kutoka Ardhini ndo wanaisikia mgandamizo Kwenye Viti lakini kadiri wanavyosogea wanazoea na chombo kikifika constant Speed basi hawahisi Chochote Tena. Kikawaida Mtu huhisi speed Ukiwa Ndani ya chombo pale kitakapo ongeza au Kupunguza Speed
AsanteSafi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]…nilitaka nimjibu at constant velocity huwezi feel speed…
Safi sana...The ISS orbits Earth every 90 minutes. So, instead of receiving 12 hours of light followed by 12 hours of dark, astronauts experience 45 minutes of light followed by 45 minutes of dark. That's 16 sunrises and sunsets each day!
Naam...ni kama vile tu jinsi ambavyo hatuhisi speed ya dunia ikizunguka jua...30km per second. Kwa vile everything on the planet navyo pia vinasafiri kwa speed hiyo hiyo.Safi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]…nilitaka nimjibu at constant velocity huwezi feel speed…
Kwani dunia ni Tanzania tu??.Kama ingekuwa tambarare tusingekuwa na nyanda za juu Kusini(Mbeya, Iringa, Rukwa), mteremko wa Kitonga na Mlima Kilimanjaro
hawa feel sababu hakuna gravity, mtu anayeelea hawezi ku feel hayo mambo, wao hata chooni huenda kwa makini vinginevyo mkojo utasambaa kwenye hiko chomboJe wana feel hiyo speed? Ukiwa kwenye gari, likisimama unajua, likiongeza mwendo unajua, na mwendo ukiwa mkali sana unajua. Je vipi ukiwa kwenye hiyo satellite?
yah hilo lipo sawa kwakuwa huwa wanaenda huko kwa muda mfupi na kurudi duniani hakuna mtu amewahi kuishi huko miaka mingiNa vipi? Kuhusu umri na kuzeeka ki mwili je? Lipo sawa na sisi tulipokuwepo huku chini
huwezi piga zile mnaita tako,lazima wanakumbatiana tu maana hata ukitoa wazungu wataelea juuKwenye suala la mapenzi sijui inakuwaje?wakiwa space
Dah space sio pa kwenda!huwezi piga zile mnaita tako,lazima wanakumbatiana tu maana hata ukitoa wazungu wataelea juu
Kwani walienda na wenza wao?Kwenye suala la mapenzi sijui inakuwaje?wakiwa space
Choo Kina kuwa processed kuwa nini?yah hilo lipo sawa kwakuwa huwa wanaenda huko kwa muda mfupi na kurudi duniani hakuna mtu amewahi kuishi huko miaka mingi
hata hivo NASA wana vifaa mpaka vya mazoezi huko juu,na kila kitu kipo recycled kuanzia mkojo,jasho nk,yani ukikojoa mkojo unaprocessiwa na kuwa maji ya kunywa,ukitoa jasho linaprocessiwa na kuwa maji ya kunywa na ukienda chooni hakitupwi
Kwamba wanaanga ni waaminifu kiasi hicho?Kwani walienda na wenza wao?