Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

Mwanzoni mwa miaka 90 mfumo huu ulipokuja Afrika na Tanzania hususan.
Ulipokelewa kwa maoni yangu kuwa
1. Nchi zetu zilikuwa bado kuuelewa namna ya kuukabili na kuuishi

2. Ulipokelewa kama namna nyingine baada ya vita baridi kuanguka kwa ukomunisti na kuingia ktk mfumo wa Marekani na Washrika wake.

Hivyo Tanzania chini ya Mwalimu walikuwa waelevu sana, kiasi cha kuhadaa wenye mfumo wao.
Walewale waliokuwa ktk utawala wa chama kimoja walianzisha vyama vingine nisiite PINZANI.
Moja kutoa mwanya wa sisi kukua ktk mfumo wa vyama vingi
Pili kuuelewa na kuuishi
Tatu kukidhi shinikizo za nchi wahisani wenye mfumo wao.

Kwa kuwa Vita ya kiuchumi ambayo kwayo ukoloni ulikuja Afrika na baaea ya kuanguka Ukomunisti, hali ya kisiasa kwa nchi zenye mfumo wa vyama vingi bado unalihitaji bara la Afrika.
Na kwa kuwa nchi za Afrika baada ya Uhuru zilishindwa kutafuta namna ambayo kwayo sitasimama na kupelekea aidha ziwe za Kijamaa(Ukomonisti) au Upebari(wenye mfumo wa vyama vingi) ukiachilia mbali wale waliokosa wapi waende na kujiita nchi Zisizofungamana.
Mifumo yetu haiko imara kujitegeme si tu kiuchumi, kisiasa ,Utamaduni na teknolojia,

Nchi tuziitazo wahisani wanatumia Wafrika hukakikisha Malengo yao ya kuendelea kuishikia Afrika yanadumu.

Hivyo miongoni wa wale tunaowaona wanasiasa mahili kujielesa mbele zetu kwenye mikutano ni VIBARAKA au wachumia tumbo.

Kama.Afrika itafika sehemu tukaamua hata kama ituchukua miaka 100 vizazi vyetu baadae viwe huru kwa mali zilizoko Afrika.

Mashirika ya kijasusi yanatumika kutugawa , kutengeneza vikundi vya vurugu, viongozi wenye udikiteta, wizi wa mali. Nk

Afrika lazima ibadilike, kwa maoni yangu tumerudi rena kwenye kupigani uhuru kama miaka ya 60 safari hii huenda ni mbaya kuliko ya mwanzo kwa sababu wametusomesha mifumo yao ambayo kwayo tunaona tunafanana nao.
Safari hii tumegawanyika kirahisi kupitia propaganda na Teknolojia

Ni hayo tu jamani

TPENDANE TUSIBAGUANE,
Tuchukuliane madhaifu yetu kwa Upendo mkubwa.
Tuipende nchi yetu
Somo la UZALENDO WA NCHI LIFUNDISHO Kuanzia chekechea nakuendelea
 
Tatizo sio Muafrika Mwenzangu

We're at the tag war.
Tunavutwa huku na huku
Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo mengi wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua CCM imepita bila kupingwa.
 
1598538488970.png
 
Sina uhakika na uwezo wake wa kukubali kukosolewa na wengine.
CCM tumejiandaa kufanya kampeni za kijeshi nchi nzima usiku na mchana nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda Tutawashawishi wananchi wampe Magufuli ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.
 
Back
Top Bottom