crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Sina uhakika na uwezo wake wa kukubali kukosolewa na wengine.Tundu Lissu ni aina ya binadamu ambao ukiwa nao lazima ufuate anachotaka. Wana siasa za kulazimishana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika na uwezo wake wa kukubali kukosolewa na wengine.Tundu Lissu ni aina ya binadamu ambao ukiwa nao lazima ufuate anachotaka. Wana siasa za kulazimishana sana
Tatizo sio Muafrika MwenzanguHoja yako imesimama panapostahili!
Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo mengi wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua CCM imepita bila kupingwa.Tatizo sio Muafrika Mwenzangu
We're at the tag war.
Tunavutwa huku na huku
Hao akina Sulphur Hexafluoride ndio damu changa ya CCM wanakuwaga na makeke sana[emoji42]
Wawe Wazalendo tu kwa nchi sio chamaHao akina Sulphur Hexafluoride ndio damu changa ya CCM wanakuwaga na makeke sana
Huyu jamaa bila shaka ni mgombea wa CHADEMA
Wakikusikia watakupigaHuyu jamaa bila shaka ni mgombea wa CHADEMA
CCM tumejiandaa kufanya kampeni za kijeshi nchi nzima usiku na mchana nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda Tutawashawishi wananchi wampe Magufuli ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.Sina uhakika na uwezo wake wa kukubali kukosolewa na wengine.
Poa poa.CCM tumejiandaa kufanya kampeni za kijeshi nchi nzima
CHADEMA kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Magufuli ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.Safi sana kaka mkubwa.
Haya bhana.chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Magufuli ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.
Umenena vema kaka mkubwa...Demokrasia ni muhimu lakini twaambiwa kwenye safari ya mamba kuna uweekano wa kuwa na kenge pia.
Vyama vya siasa vivunje sheria wakulaumiwa awe Magufuli ! Magufuli anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekeza.Hoja yako imesimama panapostahili!
Duuuh...Vyama vya siasa vivunje sheria wakulaumiwa awe Magufuli !
Duuuh ndio nini? Acha kushangaa jiunge na CCM.Duuuh...